Saturday, November 21, 2009

ETI HUYU NI NANI?

Huyu ni nani?

Ndugu wasomaji, leo nilikuwa nachungulia mtandaoni nikajikuta nikivutiwa na hii picha ya huyu jamaa, naambiwa kuwa eti ni Mtanzania na anaishi ughaibuni. Mnaomfahahamu, naombeni mnijuze.....Huyu ni nani?

4 comments:

Bennet said...

Huyu ni Dr Zawose

Mzee wa Changamoto said...

Kama alivyosema Kaka Bennet, huyo ni Dr. Hukwe Zawose. Mmoja kati ya mabalozi wazuri wa muziki wa asili wa Tanzania aliyefariki mwaka 2003.

msome http://www.bagamoyo.com/464+M5ad021e75f8.html

Koero Mkundi said...

Hee!! kaka Mubelwa, kumbe huyo Ndiye Dr. Nzawose!!!!....na Kumbe ameshafariki!!!!!!
hebu ngoja nimsome kupitia hiyo Link kwanza.......

Yasinta Ngonyani said...

Duh! Kwa nini watu wanawahi kujibu maswali kama haya. Basi kwani tayari wameshajibu waliotangulia. nazipenda sana nyimbo zake. labda nisema tu ni mgogo au alikuwa mgogo.