Saturday, March 13, 2010

SAFARINI DAR

Jana nilikuwa hapa
Ndugu wasomaji ninaondoka asubuhi hii kuelekea Dar. Nimekaa Arusha kwa takriban mwezi mmoja na sasa inabidi nirudi nyumbani kuungana na familia yangu. Shughuli ya Kilimo ndio imekamilika na sasa nasubiri mvua kidogo za mwezi wa nne ili mazao yazidi kupata kasi ya kukua.

Mungu akinijaalia nikifika salama Dar, nitawajuza, maana safari ni hatua.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mungu atakuwa nawe katika safari yako mdogo wangu.Na kama ulivyosema usikose kutujuza ni muhimu sana. SAFARI NJEMA!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

bila shaka lile lijamaa limukumiss wewe na uanauke wako.

safari njema

PASSION4FASHION.TZ said...

Hongera kwa kilimo kwanza,kumbe kweli unalima?kweli ni mfano wa kuigwa!

Mungu atakusimamia katika safari yako ufike salama mpenzi.