tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post1152951000575381989..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: KUSENGENYA: TABIA ISIYO NA MWISHO MZURIKoero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-90772099089137131422009-02-11T18:10:00.000+03:002009-02-11T18:10:00.000+03:00nawaza, nawaza. kaka zangu wamemaliza yote ASANTEN...nawaza, nawaza. kaka zangu wamemaliza yote ASANTENIMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-82316479312892904882009-02-11T14:05:00.000+03:002009-02-11T14:05:00.000+03:00Tatizo ni jinsi jamii iuchukuliavyo usengenyaji mp...Tatizo ni jinsi jamii iuchukuliavyo usengenyaji mpaka tuna magazeti kibao ambayo kinamna ni ya kisengenyaji na ndiyo yanunuliwayo kwa wingi kwa sababu jamii inahamu yakujua yasiyo ya maana MPAKA kama ni kweli mheshimiwa ni kweli ana chupi moja au LA.:-(

Nachojaribu kusema ni ; katika usengenyaji mengi ni uongo na yasiyo na manufaa.

Udhaifu wa kuvumilia uongo uliopo mpaka UKWELI ujitokeze ndio usababishao tutapetape kujitetea au hata kugombana ili kutaka kuharakishia umati ujue usengenywayo ni ya uongo.

Naamini kama ni mvumilivu na usengenywayo ni ya uongo, toa muda tu UKWELI utajulikana na asengenyaye atajulikana mpaka ni kwanini anataka kudadisi na kuongelea yasiyomuhusu.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-30789244895874820982009-02-09T13:55:00.000+03:002009-02-09T13:55:00.000+03:00Nasio aliwahi kuimba kwenye wimbo wake wa Dangerou...Nasio aliwahi kuimba kwenye wimbo wake wa Dangerous akasema "don't worry about the pretty things you hear them (they) say, don't trust no enemy can trust no friend". Japo lugha zaidi ni patois ambayo grammar yake (kama ipo) ni tofauti na kiingereza, lakini analosema ni kuwa kusimuamini mtu kwa kila anachosema machoni mwako. Ndilo lililomkuta Dada Bupe. Well, kusengenywa hakufai kwa namna yoyote ile, japo wapo wasikiao masengenyo wakabadilika kutokana na kuogopa kuwa wahanga wa yaliyowakuta wenzao. Ndio yale ya ukiona mwenzio ananyolewa. Sasa wanaposengenya mtu mwenye kazi nzuri na pesa nyingi wakati maisha ya watoto wake ni duni kwa kuwa tu anaendekeza ulevi, kama kuna aliyepo pemeni na akasikia hayo na yeye ni kama asengenywaye ujue inaweza kuwa "turning point".
Lakini Da Koero, mara zote athari za usengenyaji hutokana na hatua azichukuazo msengenywaji.
Akiamua kuendeleza ubishani na magomvi nao anawapa la kusema, akiamua kujifunza kitu na kujijenga kutokana na mapungufu atakayojifunza atakuwa amenufaika. Lakini sasa, ni mpaka ajue anachosengenyewa na nia hasa ya kusengenya ni kumsema mtu na asijue kuwa anasemwa.
Kwa hiyo usengenyaji si mzuri kama ulivyosema na unapaswa kuachwa, na badala yake watu wawe na ujasiri wa kuhoji na kueleza hisia zao kwa "wapendwa" wao uso kwa uso maana hilo litaonesha wajali na litajenga zaidi.
Amani kwako na kwenu piaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com