tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post1215864623513710902..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: WAALIMU WETU NA MAJINA YA KEJELIKoero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-9667031542124396032010-02-26T08:29:23.973+03:002010-02-26T08:29:23.973+03:00Mimi hapa nina kali za mwaka huu maana nimekuwa mw...Mimi hapa nina kali za mwaka huu maana nimekuwa mwalimu na pia nimepitia uwanafunzi kama wengine,Kuna Mwl.Tulimwita Bunsen Burner maana wakati anafundisha chemistry alipenda sana kuitaja,kuna mwalimu alikuwa anaitwa Shekitundu,sisi tukamwita Shekitobo,kuna mwl alijiita G.P(Godfrey Paul)wanafunzi wakamwita Guruwe Pori,kuna mwalimu huko Sumbawanga Kanta tulimwita Pocho kwa kuwa alishindwa kutamka Portuguese na alitamka pochogiz,Kuna Chijua cha Pombe,ha ha ha ha Nadhani majina haya yana reflect elimu ya Tanzania na unaweza kujifunza ubora wa elimu tuipatayo kwa kujua majina ya walimu.Ugeni wa vifaa kama bursen burner,maneno kama however na matamshi na vitendo vya walimu vimeathiri nick names zaoABELnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-73941522510428670292010-02-26T02:11:12.783+03:002010-02-26T02:11:12.783+03:00Mimi nawakumbusha wenzagu tuliosoma shule ya msing...Mimi nawakumbusha wenzagu tuliosoma shule ya msingi uhuru mchanganyiko dsm kulikuwa na mwa Mabura huyu ni zeruzeru huyu alikuwa mnoko na anapiga ile mbaya siku moja alipimpiga mwanafunzi mmoja kwa jina ni Juma ambaaye ni kipofu yeye hakujali hilo alimtmtandika kishenzi.nakumbuka kuna mw mmoja wa kike anaitwa mw Gambo alipokuja katika kipindi chake kuona ile hali basi alilia na kwa ile huruma alimtuma mwanafunzi mmoja akanunue soda na keki na akapewa yule asiye ona yaani Juma.basi mimi na wenzangu ambao nawakumbuka kama vile yussuf katwila,hamza,rashid na wengine tukaamua nakumbuka ilikuwa siku ya jumamosi yeye anakawaida ya kwenda kulewa tukamchukuwa paka na kutumbukiza kwenye nyumba yake kwa dirishani bwana wee!!! alivyorudi huko mbona alitia akili! siku ya jumatatu alipokuja kufundisha ana mabendej!! kila kona. na hii ndio ikawa dawa kwake. mimi saleh.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-23514980154521858262010-02-16T12:18:57.933+03:002010-02-16T12:18:57.933+03:00nimekumbuka mbali pia..nimekumbuka mbali pia..twenty 4 sevenhttps://www.blogger.com/profile/15839510166436145835noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-69672210254954854462010-02-12T17:02:56.387+03:002010-02-12T17:02:56.387+03:00Nimeisoma habari yote na comments, sijaona pointi?...Nimeisoma habari yote na comments, sijaona pointi? Yaani, objective ya kuwakejeli walimu ni nini kama sio utovu wa nidhamu? Pili, how would you feel kama ukipewa jina la kejeli kutokana na, kwa mfano, physical disability ambayo wewe hukuiomba kwa Mungu. Do you think it's fair kumwita mtu mfupi Andunje? Au mwenye kisogo kirefu? Au kichwa kikubwa? Au kumwita mwalimu Surambaya because he is not good looking?

Come on bloggers wa ki-Tanzania! Kuna mambo mengi ya maana ya kujadili kuisaidia jamii badala kukumbushia majina ya kejeli ya walimu waliowasaidia, kwa kiasi fulani, kujua kusoma na kuandika na leo kuwa bloggersAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-27532720436795283002010-02-10T00:40:20.313+03:002010-02-10T00:40:20.313+03:00Basi alikuwepo mwl kule Nganza Sec, huyu nadhani a...Basi alikuwepo mwl kule Nganza Sec, huyu nadhani alipokuwa mdogo aliugua Ndui maana uso wake wote ngozi imevurugika kwa makovu, pia
alikuwa na ulimi mzito na inabidi umsikilize vizuri kumuelewa kitu ambacho inasemeka imetokana na ugonjwa huo aliougua utotoni. Basi siku moja alikuwa darasani akifundisha darasa la mdogo wangu, wakati akiendelea kufundisha akagundua hasikilizwi na kama kuna mchezo unaendelea mle ndani maana wanafunzi walikuwa wameanza kucheka kichini chini, mwl akaminya. Huku nyuma kumbe mwanafunzi mmoja alikuwa ameandika ujumbe kwenye kikaratasi na kuanza kupasiana kichini chini, mwl akakiona kikaratasi baada ya mmoja kukosea stepu akakiomba, ikabidi apewe. Huku darasa likiwa linatetemeka akakifungua na kukisoma kimeandikwa .."Uso wa Mwl B... utadhani nyama ya ini"... Duuh Mwl alipagawa alitoka nakukipeleka ofisini, kilichofuatia ilikuwa ni darasa zima fimbo kutoka kwa waalimu wote, fimbo zile sitakaa nizisahau. Kuanzia hapo mwl alijipatia jina lingine Nyama ya ini.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-510623355604845442010-02-09T11:13:18.948+03:002010-02-09T11:13:18.948+03:00nikisema yangu patakuwa hapatoshi manake! mengine ...nikisema yangu patakuwa hapatoshi manake! mengine ni ya kihaya na nini! jina kama MKUNDI, kwetu ni nini sijuikamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-51878983819517817432010-02-08T05:18:59.417+03:002010-02-08T05:18:59.417+03:00asante dada kaero umenikumbusha mbali wakati niko ...asante dada kaero umenikumbusha mbali wakati niko sekondari huko moshi tulikuwa na mwalimu ana mashavu makubwa sana hivyo tulikuwa tunamuita manguchu na mwalimu wetu wa kiingereza tulimuita colloquial maana alipenda kulitumia hilo nenoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-19009802740756388592010-02-07T17:20:47.940+03:002010-02-07T17:20:47.940+03:00Kama mwalimu, mimi siwezi kusema cho chote hapa kw...Kama mwalimu, mimi siwezi kusema cho chote hapa kwani sijui wanafunzi wangu wananiiteje. Itabidi nianze kupeleleza. Mada nzuri dada Koero!Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-7005052012093752682010-02-07T16:29:10.133+03:002010-02-07T16:29:10.133+03:00Tulikuwa na mwalimu wetu wa Agriculture (alale mah...Tulikuwa na mwalimu wetu wa Agriculture (alale mahala pema huko aliko) ambaye aliitwa NUNGU. Huyu alikuwa mkatili saana. Ukiwa na kosa usingeweza kuwa mbele yake ukaendelea kusimama. Atakuuliza "una makosa halafu umesimama mbele yangu kama miiba ya Ngungunungu? Piga magoti".
Kama alipanga kukuadhibu (na akawa kwenye mood nzuri) atakupa option kuwa ukubali akuchape, ama akuulize swali na ukishindwa kujibu akuchape. Kisha (mara nyingi) atakuuliza Mbuzi ni nini? Sikuwahi kuona mwanafunzi yeyote akiepuka kichapo baada ya swali hilo. Mpaka anakufa hakuwahi kutupa jibu la swali hilo.
Mwingine aliitwa DICTIONARY. Huyu alikuwa mwalimu wa kiingereza kwa form one. Alikuwa akijiita "living dictionary" akimaanisha kuwa neno lolote (kwa elimu ya kidato cha kwanza) angelijua na sio tu kukutafsiria kwa kiswahili, bali mpaka kiHaya. Well! Unaweza kuona namna ambavyo tuliamini kuwa ANAJUA KIIINGEREZA CHOOOOTE wakati maswali tuliyouliza ni "nini maana ya therefore?" Hahahahaaaaaaaaaaa.
Pia tulikuwa na mwalimu mwingine (naye apumzike pema peponi) aliyepewa jina la MYUSKOS. Huyu alikuwa anatusimamia mtihani wa Biology lakini katika kuchapisha mtihani, neno moja halikusomeka. Mwanafunzi mmoja (aliyewahi kulifikia hilo swali) akamuuliza Mwalimu neno lililofutika, basi mwalimu akalitamka kuwa ni MYUSKOS. We were like whaaaaaaat?? Maana lilikuwa neno geni. Basi tulipouliza tena akasema "ngoja niandike ubaoni ili msiulize tena na tena na tena". Alipoenda kuandika, guess what? Kumbe neno lilikuwa MUSCLES.
Binafsi nili-declare ushujaa kwa kujizuia kucheka. It was funny as hell.
Wakati niko Ndanda Sekondari huko Masasi tulikuwa na Academic Master aliyepewa jina la NANG'OLO. Hata sijajua huyu ni mdudu gani ila kila mara katika kudhihirisha umwamba wake alikuwa akisema "MIMI NDIYE NANG'OLO DUME"
Wacha niachie hapa wengine waendeleeMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-42306785340777902302010-02-07T13:44:27.071+03:002010-02-07T13:44:27.071+03:00Oh! Koero umenikumbusha kulikuwa na mwalimu wakati...Oh! Koero umenikumbusha kulikuwa na mwalimu wakati nasoma shule ya msingi mwl. wa hesabu alikuwa hawezi kusema kitu bila kusema mwezi mpya kwa hiyotukampa jina la MWL. MWEZIMPYA.

Na mwinginealikuwa mwl. wa kiswahili yeye tulimwita mwl AKILI maana kila neno alilosema lazima aseme akili. duh! umenikumbusha zamani na naipenda sana zamani.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-28940380276448546622010-02-07T11:40:31.306+03:002010-02-07T11:40:31.306+03:00ha ha ha haaaaa.....Kaka Chacha, yaani nimecheka i...ha ha ha haaaaa.....Kaka Chacha, yaani nimecheka ilw mbaya mpaka wenzangu wananishangaa, HKwa kweli dada Koero anajua kuchokoza mada, maan hii nilikuwa sijawahi kukutana nayo.....Duh, nadhani Mtakatifu Kitururu, Mubelwa, Kamala, Prof. Matondo, Da Mija, Da Yasinta, watakuwa na mengi ya kutueleza, maana hakuna atakayesema kuwa hakuwahi kukutana na hayo aliyoyasema Koero...

Mimi bwana Kule Sumbawanga nako kulikuwa na vituko vyake, kuna mwalimu tulimuita Kipago, yeye alikuwa kama ana matege hivi na hawezi kubana miguu, Uchagani napo nilipowahi kusoma kulikuwa na mwalimu alikuwa anaitwa Andunje, yeye alikuwa mfupi kweli, kama mnakumbuka kitabu cha darasa la tatu kama sikosei kulikuwa na hadithi ya mtoto mmoja nadhani nai wa kike mfupi anaitwa Andunje na kutokana na ufupi wa mwalimu akaitwa hilo jina.

Jamani najaribu kukumbuka maan visa ni vingi kweli lakini kumbukumbu zimepoteaRamsonhttps://www.blogger.com/profile/00148250682968870464noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-75527143357919064742010-02-07T10:32:56.730+03:002010-02-07T10:32:56.730+03:00Duh Koero nawe uminikumbuka sana wakati nikisoma s...Duh Koero nawe uminikumbuka sana wakati nikisoma sekondari huko Uchagani kulikuwa na walimu dizaini sana!

Kuna huyo 'Darubini' wenu yeye hakuangalia macho. huyu alikuwa anaangalia KISOGO ukimkimbia tu hata ukikaa mwezi atakupata tu kwa kuwa anadai visogo havifanani :-) Pamoja na hili huyu naye alikuwa na sifa ya kubainisha mambo...wakati fulani msichana alikamatwa na Mzee wa Fyongo wakila malavedave na walipopelekwa staff room mvulana akaambiwa 'shehe twambie...hata kama uliweka kichwa tu lakini si umet....?' What an embarrassment!!!

mwingine tulimuita Mzee wa Fyongo! Nakumbuka wakati fulani waziri wa elimu alikuja na akapewa kazi ya kusoma risala na akaanza historia ya shule 'ndugu waziri.....shule yetu ina wanafunzi shilingi 840!....oh! sorry ndugu waziri ni wanafunzi 840!!'

Huyu ndo aliwabamba wale walokamatwa wakila malavedave na walipobanwa wakakataa akamaka...'oo..wanasema uongo mwl...nimewakamata wakati sex ikiwa mbichi!' You can imagine vicheko na hasira humo staff room.

kulikuwa na mwingine msukuma ambaye alisomea ujermani na alikuwa hataki kusalimiwa kisukuma. kwa kujua hilo tulikuwa tunachezea shere kwa kumwamkuwa...'mwangaluka mwl! nae alifyumu ile mbaya na kujibu...mimi huwa sipendelei, siku nyingine ntakutandika..anyway mola duhu' ilikuwa ni burudani hasa ukichanganya kiswahili aliochokuwa akizungumza kwa lafudhi ya akina Mija na Matondo!!!

mbali na walimu na wanafunzi nao wana vituko vyao...
alikuwepo mwanafunzi mmoja toka shinyanga ambaye alikuwa na uwezo wa kunywa uji wa moto unaotokota in no time! ukimuuliza alidai kuwa ana friji mdomoni :-)

mwingine alitoa kioja kwa kuanguka na gudulia la uji yeye akawa chini gudulia juu na hakuna tone la uji lililodondoka :-)Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!noreply@blogger.com