tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post1731430353472194861..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: RAISI AMANI KARUME NA MKAKATI WA MARIDHIANOKoero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-90818306918016426352010-01-25T13:14:01.938+03:002010-01-25T13:14:01.938+03:00INDIDE JOBINDIDE JOBMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-36496213838619310482010-01-23T20:53:42.874+03:002010-01-23T20:53:42.874+03:00"Hata katika nchi zinazojidai kuwa na ukomavu..."Hata katika nchi zinazojidai kuwa na ukomavu wa kidemokrasia, tamaa ya tabaka (au chama) tawala daima ni kubakia madarakani kwa mbinu na gharama yo yote ile"

Hii imenikumbusha lile sakata la uchaguzi wa urais hapa Marekani mwaka 2000 ambapo kila mtu anajua kwamba rais Bush (II) alishindwa na Al Gore. WaRepublican walifanya kila njia kuhakikisha kwamba wanalichukua jimbo amuzi gombaniwa la Florida hata kama ni kwa kuiba kura. Na kweli kura ziliibwa na mwenzao akaupata uraisi. Kilichofuatia hapo tunakifahamu. Vita visivyo vya lazima vikaanzishwa na miaka michache tu akawa ameshaitafuna ziada ya bajeti aliyoikuta na kuitumbukiza nchi katika madeni makubwa na hatimaye uchumi kuyumba. Lakini marafiki zake walitajirika ajabu kwa kupatiwa mikataba ya kutengeneza silaha na miundo mbinu ya Iraq (Halliburton n.k.)

Kwa hivyo mchezo huu uko popote pale na invyoonekana CCM ni magwiji hasa wa kuucheza. Historia hata hivyo inatuambia kwamba hatimaye watu huchoka na michezo ya aina hii, wakainuka na kuleta mabadiliko ya kimfumo. Kinachoumiza na kushangaza zaidi ni kwamba hata hao wapya wanaopewa madaraka katika mvuvumko mpya nao huugeuka umma uliowaweka madarakani na kuishia kufanya yale yale (na hata kuzidi) ya watangulizi wao. Ndiyo maana mimi sina matumaini wala imani na hivi vyama vya upinzani (tazama hapa: http://matondo.blogspot.com/2010/01/ni-kweli-au-ni-kauli-mbiu-yenye-ombwe.html).

Kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni baba yako, mama yako, mke wako au mtoto wako.

Kamwe usimwamini mwanasiasa - HATA KAMA NI WEWE MWENYEWE!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-43515639359534751422010-01-23T20:28:48.831+03:002010-01-23T20:28:48.831+03:00This comment has been removed by the author.Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-29119966993277353482010-01-23T12:05:58.277+03:002010-01-23T12:05:58.277+03:00hakuna mtego hizi ni dangannya totooooooohakuna mtego hizi ni dangannya totoooooookamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-3459152503271522622010-01-23T07:27:06.463+03:002010-01-23T07:27:06.463+03:00Dada Koero wewe bi zaidi ya yule Shehe wa Magomeni...Dada Koero wewe bi zaidi ya yule Shehe wa Magomeni Mwembechai yaani Shehe Yahaya Hussein. Kwani Utabiri wako utatimia sawasa.

Kama alivyosema kaka Mubelwa hapo juu, kuna kamtego mzee Shariff Hamad ametegwa kwa hiyo asilaumu matokeo.....Ramsonhttps://www.blogger.com/profile/00148250682968870464noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-80211257098377824302010-01-22T20:29:36.928+03:002010-01-22T20:29:36.928+03:00Haki ya Mungu ya leo ni kali mnoooo! Duh, kazi ipo...Haki ya Mungu ya leo ni kali mnoooo! Duh, kazi ipoYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-70902521867200074342010-01-22T20:27:00.927+03:002010-01-22T20:27:00.927+03:00Hiki kinachoendelea Zanzibar ni win-win solution k...Hiki kinachoendelea Zanzibar ni win-win solution kwa Karume na CCM.
Kwanza ninukuu uliposema "binadamu ni mnyama ambaye anajulikana kwa kujiundia mifumo tata ya kisiasa na kijamii, mifumo ambayo ipo hasa kwa lengo la kuhakikisha kwamba anaishi kwa amani kulingana na sheria na amali alizojiwekea."
Yaani hakuna kinachotendwa na kiongozi wa kisiasa kisicho na maslahi kwake na chama chake kisha nchi yake. Yaani hata hawa uwasikiao wanakurupuka kusema hili na lile wanatanguliza "u-wao" kwanza. Hili nadhani Profesa Matondo atalizungumzia saana maana amelizungumzia kabla.
Lakini kama ulivyosema, maigizo yao hayajawa na characters walio makini. Leo hii Mhe Karume anakubali kufanya maridhiano na Mheshimiwa sana Shariff. Na anajua kuwa yeye (Karume) harejei kugombea. Ina maana Shariff akisema aendelee na kipindi na wengine wakagoma basi Shariff ataonekana kama ambaye anapenda maridhiano na hivyo akigombea ndiye atakayepewa nafasi kubwa ya kufanya vema (at least kwa upande wa upinzani). SI ANAKUJA KUENDELEZA YALE WALIYOKUBALIANA NA MHE KARUME??? SASA MTABISHA? HAMTAKI MARIDHIANO? KAMA MNATAKA BASI MPENI "INSIDER" ALIYEKUWEPO KWENYE UANZILISHI WA MARIDHIANO HAYO NA AMBAYE "HAKUWA NA TAMAA YA MADARAKA KAMA ANAVYOPENDA MARIDHIANO" NDIO MAANA AKAOMBA Mhe KARUME AONGEZEWE MUDA (japo alijua haiwezekani)
Lakini faida ya pili ni kwa CCM ambao wanajua fika kuwa Sahariff akigombea atakuwa na chance ndogo ya kushinda hivyo walichofanya ni kumtengenezea mazingira mazuri ya mtego (set up) ili agombee, ashindwe kisha akigoma kumtambua rais ajaye ataonekana mwenye uroho wa madaraka na si msaka maridhiano.

Ooooooh!!!! I loooove POLI-TRIX.
Just Kidding....
I HATE IT.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com