tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post1759176434190041809..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: VUA NGUO NIKUPE UTAMU!!!!!!!!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger18125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-41956205784878729162023-01-10T10:12:44.668+03:002023-01-10T10:12:44.668+03:00AsanteAsanteAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-60196881624765617662009-10-02T08:45:21.173+03:002009-10-02T08:45:21.173+03:00Naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru wasomaji na...Naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru wasomaji na wanblog wenzangu mliotoa maoni yenu kuhusiana na mada hii....ukweli ni kwamba kama alivyosema kaka Mubelwa mzee wa Changamoto kuwa kiswahili kinapotoshwa kwa sababu ya watu kutaka kuweka maan zao wanzotaka ilhali sio madhumuni ya muhusika.

KUna haja ya kurejea katika kiswahili fasaha bila kupotosha maan halisi iliyokusudiwa.....BLESSING ALL...Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-71811892596063439292009-09-30T17:03:21.377+03:002009-09-30T17:03:21.377+03:00Duh!Duh!chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-7864224606600016402009-09-30T07:24:59.592+03:002009-09-30T07:24:59.592+03:00Dada Yasinta, nadhani hiyo ndizi itakuwa ni MZUZU....Dada Yasinta, nadhani hiyo ndizi itakuwa ni MZUZU.......AU?Ramsonhttps://www.blogger.com/profile/00148250682968870464noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-61742371671611171072009-09-29T19:21:40.928+03:002009-09-29T19:21:40.928+03:00umenikumbusha wakati nipo shule kule dodoma, jion...umenikumbusha wakati nipo shule kule dodoma, jioni mwalimu alizoea kusema wavulana juu wasichana chini akiimanisha hosteli za wasichana zilizokuwa sehemu yenye mwinuko na sisi tulikuwa pande nyingine.ni kiswahili tu na mambo yake ni utata tu. baaada ya kauli hiyo ilikuwa nivicheko tuSisuluhttps://www.blogger.com/profile/17519890246968676787noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-17598032825827599082009-09-29T17:38:25.026+03:002009-09-29T17:38:25.026+03:00Nimekuelewa Ramson lakini bado sijapata jibu kamil...Nimekuelewa Ramson lakini bado sijapata jibu kamili ni ndizi aina ganai kwani kuna ndizi za aina nyingi mzuzu, mbanga, kisukari, katuri, kaporota n.k:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-63023472520429584412009-09-29T16:23:34.438+03:002009-09-29T16:23:34.438+03:00KULA NANASI KUNAHITAJI NAFASI.......KULA NANASI KUNAHITAJI NAFASI.......MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-35170844351633432009-09-29T16:12:59.653+03:002009-09-29T16:12:59.653+03:00Hapa aiwezekani kuwe na jibu moja!
Kwa kuwa kuna...Hapa aiwezekani kuwe na jibu moja!

Kwa kuwa kuna vitu kibao ukitaka kuvifaidi inabidi uvivue nguo !

Ingawa vingine ingawa hunoga ukivivua lakini waweza pia kuvifunua tu halafu kwa mrija ufyonze juisi ya ndani ya embe iliyobinywabinywa embe sindano.

Cha kusikitisha ni kwamba tunda ulijualo kwa utamu si lazima ni kweli liwe tamu ukilivua nguo nakulionja! Ndio maana hata kama ni ndizi au muwa; SI kila ndizi na Muwa ni tamu!:-(

Na ukiwa Morogoro msimu wa machungwa ntakushauri utafute ya tokayo kijiji cha Matombo kwa kuwa yanasifa ya utamu kuliko yoyote mengine yatokayo Morogoro.

Halafu inakatisha sana tamaa kama kwa nje ni bomba la mvuto lakini ukionja wastukia uhafifu katika kunoga UTAMU.:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-41022234124294141282009-09-29T14:48:14.788+03:002009-09-29T14:48:14.788+03:00Mie bado najifunza tu hapa...Ila dada zangu Yasint...Mie bado najifunza tu hapa...Ila dada zangu Yasinta na Schola.....kazi ipo....LOLAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-76216805180075210142009-09-29T14:46:09.443+03:002009-09-29T14:46:09.443+03:00Da Yasinta nawe kwa vijiswali vya uchokozi....Mhhh...Da Yasinta nawe kwa vijiswali vya uchokozi....Mhhh!!!! sasa unataka nikujibu nini, maana na wewe hishi kuwa na visa...
Ahsante kaka Mubwelwa mzee wa Changamoto kwa ufafanuzi mziri, naamini mpaka hapo dada yangu Yasinta atakuwa ameelewa sasa....Ila ya dada yangu Schola Mbipa...kaaaaaazi kweli kweli maana kama huko kuvua nguo ili upate vitamu itakuwa ni muwa basi kazi ipo.....

Ila leo kuna jamaa yangu kaja na mpy baada ya kumpa hicho kitendawili ili kupima IQ yake eti kasema kuwa jibu lake ni PARACHICHI.......LOLRamsonhttps://www.blogger.com/profile/00148250682968870464noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-19758795466787134742009-09-29T12:58:21.408+03:002009-09-29T12:58:21.408+03:00Aaaaaaaaaaaaaaaa. Tena muwa unaweza kuwa na swali ...Aaaaaaaaaaaaaaaa. Tena muwa unaweza kuwa na swali la ziada. Kuwa VUA NIKUPE VITAMU KAMA UTAWEZA KUVUMILIA VIGUMU PIA. Si unajua muwa hauliki bila kuvuka kifundo?
Hahahahaaaaaaaaaaaa. Da Scola umemaliza hapaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-25916232852697747522009-09-28T23:13:00.890+03:002009-09-28T23:13:00.890+03:00basi nipeni mji na mimi nasema jibu lake ni muwa!!...basi nipeni mji na mimi nasema jibu lake ni muwa!!!hahahahaa!PASSION4FASHION.TZhttps://www.blogger.com/profile/07390624580058921716noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-33533920277900648312009-09-28T20:40:02.632+03:002009-09-28T20:40:02.632+03:00Ama kweli NAMNA UONAVYO TATIZO NDILO TATIZO. Kwani...Ama kweli NAMNA UONAVYO TATIZO NDILO TATIZO. Kwani kulikuwa na tatizo gani kuuliza alivyouliza kama alikuwa na jibu? Na kama ulivyosema Da Koero, wangemuuliza kwanza wakiwa off-air kisha wakatuelimisha kuhusu vitendawili hivi. Kama luha inakua, basi na vitendawili na misemo hukua. Tusitegemee kila siku kuuliza misemo na vitendawili vilevile.
Na kama alivyosema Ramson kuwa kadadisi na kugundua kuwa jibu lake ni NDIZI, basi nani atakayebisha kuwa ukitaka kula na kuujua utamu wa ndizi mpaka uve nguo (maganda)yake? Kuna tatizo la kuelekeza fikra potofu kwenye karibu kila kisemwacho. Kati ya nyimbo nizipendazo ni ile ya Aungurumapo Simba RMX ambayo banza aliweka uhalisia wa maisha yetu japo wapo waliotafsiri kama matusi. Alisema "RAHA YA CHUNGWA, UMENYEWE, KISHA UKATIWE". Mimi ni kati ya walaji wazuri wa chungwa, lakini kila ninapofikiria kulimenya na kubaki na harifu ya maganda baada ya kula najiuliza mara mbili kama "kweli nahitaji kula chngwa wakati huo ama la?'" Na nikimpata wa kulimenya na kukata, NAWEZA KULILA WAKATI WOWOTE. Katika wimbo huo huo, Banza akasema "RAHA YA DAFU, UKISHAKUNYWA YALE MAJI, SHARTI DAU LICHOKOLEWE". Sijui atakayepinga kuwa hu ni ULAJI wa asili wa dafu ni nani? Kama huna kichokoleo kizuri basi ndio ungehitaji "njia m'badala" kama kulivunja kisha ukatumia kichokoleo chako hafifu kulila. Na sehemu nyingine akasema "RAHA YA NANGA BAHARINI, MTONI ITASHIKWA NA TOPE." Kwa sisi tuliokulia kwenye misafara ya majini wajua nanga. Na kwa wavuvi wanajua karaha ya nanga yenye matope. Haimaanishi kuwahuwezi kushusha nanga mtoni (maana waliozoea kuvua mtoni wanafanya hivyo) ila SI KWA RAHA KAMA BAHARINI. Na huo ni ukweli ulio wazi. Sasa kutafsiri vingine na wanavyouliza watu nadhani si tatizo la muulizaji, bali la mtafsiri.
Na naamini VITENDAWILI na MISEMO inaweza kuwa na utata kama zilivyo kauli nyingine nyingi, lakini la muhimu ni kujua kinaulizwa nini na jibu ni lipi.
Kwa jibu la RAMSON naamini walistahili kumuomba msamaha mtoto kwani alijitahidi kuleta kitu chenye utata na ufikirivu wa hali ya juu na angeachwa kujibu, kila mtu angeona ukweli kuwa UTAMU WA NDIZI UKO NDANI YA "NGUO" ZAKE. Na kama wewe wautaka, basi vua uupate. Yaani ukishanunua ile ndizi, shurti uimenye kabla hujaanza kuifaidi uhondo wake.
Naacha
Tuonane NEXT IJAYOMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-25070422126212195642009-09-28T13:01:14.991+03:002009-09-28T13:01:14.991+03:00Ramson mie nina swali:- Je ni ndizi ya aina gani?Ramson mie nina swali:- Je ni ndizi ya aina gani?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-29357253225128567522009-09-28T11:12:41.578+03:002009-09-28T11:12:41.578+03:00Dada yangu Koero, itabidi nikubatize jina la KAPUL...Dada yangu Koero, itabidi nikubatize jina la KAPULYA MDADISI.
hata mimi nimefanya udadisi na kuambiwa na wajivi wa vitendawili kuwa jibu lake ni NDIZI....

Na wewe Kamala kama huna jibu utuliage.......Ramsonhttps://www.blogger.com/profile/00148250682968870464noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-66073454452982041602009-09-28T08:57:27.079+03:002009-09-28T08:57:27.079+03:00kwani wewe unafikiri kuna utam gani unaolazimisha ...kwani wewe unafikiri kuna utam gani unaolazimisha kuvua nguo?kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-29414737675068634652009-09-27T21:45:05.713+03:002009-09-27T21:45:05.713+03:00Mmmmmh!Mmmmmh!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-87201526823247964482009-09-27T19:52:34.682+03:002009-09-27T19:52:34.682+03:00Koero nawe, Ok ila kweli kuuliza si ujinga. Nami p...Koero nawe, Ok ila kweli kuuliza si ujinga. Nami pia nasubiri jibu ili niweze kuwaambia wanangu....LolYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com