tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post1917551132709191485..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: HURUMA HII YA DAKIKA ZA MWISHO SI BURE!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-32168418016713254702010-08-19T11:24:50.348+03:002010-08-19T11:24:50.348+03:00politiXpolitiXkamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-39787918925184761242010-08-17T11:04:31.923+03:002010-08-17T11:04:31.923+03:00Niliposoma mada hii nilibaki kucheka sana. Unajua ...Niliposoma mada hii nilibaki kucheka sana. Unajua CCM wanachofanya ni ambacho wengi hawagundui. Kwanza mama mchungaji hongera kwa kutuelimisha hilo. Pia niseme mimi napenda sana ukachero, na hili CHADEMA waangalie sana maana ukachero unaendelea sana ndani ya chama chao.

KWANZA;
CCM walijipanga kushinda uchaguzi huu mwaka 2005 pale walipoamua kumteua Dk Shein kuwa mgombea mwenza.

PILI
ni MEDIA MOGUL pale tunapoona vyombo vya habari vinatumika kwa aajili ya chama chao. na huu ndiyo ukweli wamepenyezwa watu wao wengi sana.

TATU
CHADEMA wanafanya kosa kudandia hoja za wafanyakazi. Huu ni mtego walioingia kichwa kichwa.

NNE

ndipo ninaposema pana UKACHERO. lazima tufahamu kuanzishwa CCJ ilikuwa nadharia ya kigwena(njama). ndiyo maana unaona wamehamia CHADEMA, huku wakijisifu kuwanasa wakuu wa CCJ. CHADEMA wakumbuke hao jamaa ni askari na kwa ninavyopenda ukachero naamini wapo kazini. Halafu yupo Mabaere Marando, huyu alikuwa usalama wa taifa, aliapa na kiapo chake hajakikana hadi leo. Kwahiyo yupo CHADEMA kazini. Nawaambia angalieni sana haya mambo kwani katika ukachero wengi wanajua sana kitu cha 'AGENT ZERO' au 'COPY'. Majina haya yanapotumika kama huelewi ni vigumu kufahamu kinachoendelea.
mimi nacheka sana haya mambo we acha tu. Angalieni sana siasa hizi za hawa tunaowashabikia, na CHADEMA akiondoka Mbowe madarakani watalazimika kpambana haswaaa maana kila nikimtazama Mbowe namfanananisha na kachero fulani hivi.

TANO
Zanzibar Maalim Seif Hamad, amewekewa kazi ngumu. kwani kuteuliwa Dk Shein nilikuona mwaka 2005, nilijua ni nadharia ya Kigwena na lazima Shein atagombea Urais atake asitake. Na naamini ameambiwa gombeaaaaaaa..... hakuna kuuuliza. Kwahiyo tayari wameshaunda kitendawili kikali ambacho wapinzani hawawezi kukwepa. Ipo kazi haswa.... Tiketi ya kuungwa mkono Dr Slaa siyo tatizo, maana hata kete ya ufisadi au katiba mpya watu hawaelewi nchi hii..... ha ha ha ha

Wafanyakazi wengi nchini ni sehemu ya ujinga wa wapigakura wa tanzania. Angalia sasa watu milioni 1 na ushee hawatapiga kura mwaka huu kutokana na mambo mbalimbali. Kama anavyosema anon wa mwisho hapo juu kuwa inahitaji tafakuri jadidi mambo ya siasa. sasa hivi habari zinachafuliwa sana na kutiwa ukungu. wapigakura hawaelewi ni kipi cha kufuata... hapo ndipo namkumbuka David Shenk na kitabu chake cha DATA SMOG- Surviving the iformation glut. kwamba habari zikizidi sana zinachafua hewa au ukungu. habari inaweza kusemwa lakini inakanushwa.... ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Mama mchungaji Koero, usikate tamaa, muunge mkono Dr Slaa anahitaji nguvu za wananchi sana tu. sasa tatizo moja linanisumbua hatujajiandikisha kupiga kura, na wengine hawataki kupiga kura.... ha ha ha ha

katika kipindi hiki ma-AGENT ZERO wapo kibaoooooooo halafu wapinzani wanasema tunavuna kutoka CCM.... ha ha ha ha ha ha ha ipo kazi ngoja niwakumbushe ukachero wa TOMORROW NEVER DIES ya JAMES BOND. hebu pitieni ukachero ule kwanza katika mambo haya ya MEDIA MOGUL halafu mtaniambia kituMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-39875254154165583232010-08-17T01:24:15.202+03:002010-08-17T01:24:15.202+03:00Mishahara iliongezwa kwenye kikao cha Tucta na ser...Mishahara iliongezwa kwenye kikao cha Tucta na serikali cha tarehe 8 May 2010, hata kabla Chadema hawajaweka mgombea, na taratibu za mahojiano ni kuwa hawaruhusiwi kusema walichokubaliana nje ya vikao vyao, sheria zinawabana. Ndio maana hata Mgaya hakulisema hilo, ila tu ambacho hawakukubaliana ni viwango vya kuongeza au kupunguza hizo kodi.

Mgaya alipaswa kuwaambia Chadema kilichotokea, na CCM wametumia mwanya huo kuwafanya Chadema waonekane waongo, huo ndio mchezo wa politics, sasa wakati wao wanaimba wimbo wa wafanyakazi wenzao wanakuja na data za kuonyesha kuwa huo ni uwongo.

Na inawezekana hata huyo Mgaya mwenyewe akawa ametumiwa na CCM pia, haiyumkiniki yeye asijue kuwa mishahara imeongezwa wakati walikaa mezani wakafikia makubaliano hiyo tarehe 8 May 2010. Hizo ndizo siasa zimejaa visa na mikasa. Ukiangalia kwa makini CCM walijiandaa mapema kuhusu uchaguzi, angalia tu ule wa serikali za mitaa walivyopeta. Vijana mjini shule, mimi nilipata wasi wasi mkubwa pale Chadema walipopokea milioni 100 kutoka kwa kada ya CCM, mara atangazwa Dr. Slaa mgombea, mara Marando anahamia Chadema, mara sijui nani anahamia huko. Siasa zahitaji tafakari jadudi kuzielewa, uchimbe haswa! Ila ukweli utabaki pale pale, Dr. Slaa hawezi kupata zaidi ya 50% ya kura zote. Kura hizo 100%watagawana na wagombea wengine kutoka CUF, TLP, sijui nani, na CCM pia! Mgaya amewaingiza mkenge!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-39336221675075125202010-08-16T20:08:27.065+03:002010-08-16T20:08:27.065+03:00Mwaipopo, lakini si alitakiwa atolee ufafanuzi wa ...Mwaipopo, lakini si alitakiwa atolee ufafanuzi wa kauli ya Mheshimiwa kama alikuwa na maana gani ambayo sisi hatukuielewa?

Kama Propaganda ni kuwafanya watu kuwa ni majuha, basi haifai.....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-86283889586324649102010-08-16T14:44:03.952+03:002010-08-16T14:44:03.952+03:00ofisini kwangu kuna Kamusi ya Kiswahili Sanifu (20...ofisini kwangu kuna Kamusi ya Kiswahili Sanifu (2008). Nikajisumbua kutafuta maana ya neno 'Propaganda'.

Propaganda (nomino)habari zilizotiwa chumvi sana au za wongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani.

hakika Tabwe Hiza alikuwa akifanya kazi yake vyema. he is a good man!John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-19034177760589335582010-08-16T13:01:05.364+03:002010-08-16T13:01:05.364+03:00Nimesoma na kuelewaNimesoma na kuelewachibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.com