tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post2119959337035199682..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: TUNATAKIWA KUZAANA KWA WINGI!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-40702056703812568472009-05-27T15:03:57.315+03:002009-05-27T15:03:57.315+03:00kwa kweli ingekuwa shida kama tusingekufa. Lakini ...kwa kweli ingekuwa shida kama tusingekufa. Lakini sasa kuna uwezekanao kutakuwa hakuna watu baada ya miaka. kwani watu sasa wanazaa kwa mahesabu.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-68557348224581161072009-05-26T09:53:36.338+03:002009-05-26T09:53:36.338+03:00acheni mambo ya ajabu. maumbile yaliumba na yanaum...acheni mambo ya ajabu. maumbile yaliumba na yanaumba na kuleta watu yakijua kabisa jinsi ya kuwalisha na kuwanywesha nyie hofu zenu za watakula nini ni za kiakili zaidi ya kiroho. kwani mazingira yanaalibiwa na ongezeko la watu au ujinga wa watu wanaofanya manyanga na kuharibu mazingira?

wingi wa watu sio noma wewe. uliwahi kwenda msituni? ukifika huko nyasi, miti na vitu kibao vimejazana sehem moja kama nini lakini ukiviangalia vinajitingisha na kufurahia maisha ile mbaya bila malalamiko, sasa unadhani wingi wa watu unashida gani?

HII YA KIROHO ZAIDI; bindamu hawaongezeka wala hawafi bali hubadilisha tu miili na kuvaa mingine, wapo, walikuwepo na watakuwepo. soma zaidi juu ya re-incarnation uone.kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-61062573544807694982009-05-24T09:23:01.788+03:002009-05-24T09:23:01.788+03:00Kaka Mubelwa Nchi zetu hizi za Afrika hazina utara...Kaka Mubelwa Nchi zetu hizi za Afrika hazina utaratibu mzuri wa kuwatunza wastaafu, usipozaa kaka yangu umekwisha.
Utanyanyasika na watoto wa ndugu zako, wewe waige tu hao wazungu wanoendekeza ndoa zisizo na matunda yaani watoto.
Sikutishi ila chunguza maisha wanaoishi wastaafau huku nyumbani, yanatisha.Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-86051139406390600222009-05-24T06:08:09.223+03:002009-05-24T06:08:09.223+03:00Kuna wakati yatubidi tuangalie tunaambiwa nini na ...Kuna wakati yatubidi tuangalie tunaambiwa nini na nani na ili kiwe nini. Kwa mujibu wa takwimu, ili jamii iweze kujihakikishia uwepo wake miaka 25 ijayo, inastahili kuwa na wastani wa uzazi wa watoto 2.11 kwa kila familia. Ikishuka mpaka wastani wa watoto 1.9 kwa familia inakuwa ngumu kuutunza uzazi huo na ikishafika asilimia 1.9 kwa familia basi jamii hiyo itapotea muda si mrefu.
Wenzetu wameshtuka sasa maana kwa takwimu za mwaka 2007 zaonesha kuwa wastani wa uzazi huko Ulaya ni mdogo na sitoshangaa kama wataanza kampeni za kuwataka watu kuzaliana zaidi.
Lakini pia tugeukie upande wa pili. UPANDE WA "KIFUATACHO".
Kuongeza idadi ya uzazi ama watoto si kazi kama ilivyo kukifanya kizazi hicho kuwa chenye mafanikio na manufaa kwa uwepo wake.
Kwa hiyo kama kuongezeka kwa jamii ndiko huku ambako hakuipi jamii nafasi ya kuweza kujiendeshea maisha yao kwa haki na mafanikio, basi ni afadhali kuwa uzazi mchache maana kuzaa sana ni kuwapa mateso.
NawakilishaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com