tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post2802513072341671427..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: HIVI KWA NINI TANGU MWAKA 1947 HADI LEO MGOGORO HUU HAUISHI?Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-61213910532004060712018-01-10T19:49:28.211+03:002018-01-10T19:49:28.211+03:00agen poker
poker online
pagen poker terbaik
agen p...
agen poker
poker online
pagen poker terbaik
agen poker terpercaya
poker uang asli

sabung ayam
adu ayam
ngadu ayam
laga ayam
permainan adu ayam
ayam petarung
ayam sabung
ngadu ayam jago
adu ayam online
taruhan ayam
sabung ayam terbaik
judi online ayam
ayam sabung online
judi adu ayam
situs sabung online
judi sabung online
permainan laga ayam
sabung online
sbobet
agen sbo
agen sbobet
agen sbobet terbaik
agen sbobet terpercaya
sbobet asia
ibcbet
agen ibcbet
agen ibcbet terbaik
agen ibcbet terpercaya
ibcbet online
sbobet online

sbobet onlinehttp://pusatayam.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-71519297945144532142009-02-01T06:16:00.000+03:002009-02-01T06:16:00.000+03:00Blog yako nzuri inaelimisha. Keep it up!Kuhusu hi...Blog yako nzuri inaelimisha. Keep it up!Kuhusu hili nakubaliana na Mzee wa changamoto kuwa "no research, no right to say" Harafu sikubaliani kabisa na comment ya Kaka Bwaya. Pia nafikiri watu tuwe makini kucomment kama haandiki backing facts maana inapelekea kupotosha ukweli. Kwa ufupi Israel ina haki ya kujitetea na kulinda usalama na maslahi ya watu wake. Ifanyeje mtu akisema hivi: soma http://news.bbc.co.uk/2/hi/middle_east/4378948.stm. Jamani tutafute first hand info kabla hatujacomment, namna hii tutakuwa tunaelimishana vizuri. Endeleza blog yako nzuri.Nawasilisha,
Mama wa M-IsraelSophie B.https://www.blogger.com/profile/12216942229925254133noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-59413776866447410932009-01-01T15:43:00.000+03:002009-01-01T15:43:00.000+03:00Bado nakuja dada Koero wala usitie shaka nipo nipo...Bado nakuja dada Koero wala usitie shaka nipo nipo kwanza. hakika nitaweka maelezo marefu sana hapa. NITAKUJA TU MSIHOFUMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-24808177142048392512008-12-31T13:32:00.000+03:002008-12-31T13:32:00.000+03:00Kikristo waisrael waliamriwa na Mungu kuwaua Wapal...Kikristo waisrael waliamriwa na Mungu kuwaua Wapalestina wote kipindi kile wamerejea kutoka uhamishoni Misri. Yoshua alitakiwa kuongoza mauaji ya halaiki (Wenyeji,wapelestina) ili kutokomeza kizazi chao kuwaruhu wao kuichukua nchi hiyo. Bahati mbaya tunaambiwa, waisrael wenyewe kwa huruma zao waliwaacha baadhi yao. Mungu akaambia "hawa jamaa watawatesa maisha yenu yote!".

Kibiblia, mwenye haki ya kuua ni mwisrael na si mtu wa mataifa. Ila yeye akiua, hilo si kosa. Ni kuujenga ufalme wa Mungu. Huo ndio mtazamo wa kidini.Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-75419004344045002072008-12-31T06:38:00.000+03:002008-12-31T06:38:00.000+03:00Nadhani mgogoro huu una mtizamo wa kisiasa na kidi...Nadhani mgogoro huu una mtizamo wa kisiasa na kidini.Kwa kifupi sana,kisiasa lawama ziende kwa League of Nations na Waingereza,kwa kuwapora Wapalestina haki na ardhi yao na kusapoti makazi ya Wayahudi kutoka sehemu mbalimbali duniani.Kidini,eneo hilo ni nchi ya ahadi ya wana wa Israeli kwa mujibu wa maandiko matakatifu.Siasa na dini ni mchanganyiko hatari.

Heri ya mwaka mpya dada yetu.Evarist Chahalihttps://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-17265280583190195322008-12-31T06:07:00.000+03:002008-12-31T06:07:00.000+03:00Ahsanteni wote mliochangia mada hii, Kamala, Mpang...Ahsanteni wote mliochangia mada hii, Kamala, Mpangala, na mzee wa changamoto.
Maoni yenu ndio msingi wa kuboresha blog hii.
Nawashukuru sana.

Fita nilichoandika mimi sijanukuu kutoka katika vitabu vitakatifu. ni maoni yangu binafsi kama nilivyoona kwa mtazamo wangu. siogopi kutofautiana kimtazamo au changamoto kutoka kwa mtu yeyote. Bwaya aliwahi kusema kwamba kutofautiana ndio kujifunza.

Karibu uwanjani mzee, na ulete changamoto zako hapa huna haja ya kuogopa, kwani hapa hatugombani bali tunarekebishana na kuelekezana.

Hii mada bado haijafungwa.Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-48686987045346175482008-12-30T20:11:00.000+03:002008-12-30T20:11:00.000+03:00Kwahili ninaomba unisamehe dada yangu kwani baba y...Kwahili ninaomba unisamehe dada yangu kwani baba yangu amesomea tiolojia hadi akafikia falsafa ambapo sasa hivi anafundisha katika chuo kikuu cha wheatonjimbo la texas nchini Marekani kwa hiyo nikichangia mada hii itasababisha ugomvi mkubwa kati yangu na baba yangu.

Kwa hii mada naomba munisamehe sana.Fita Lutonjahttps://www.blogger.com/profile/03789415919309665836noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-46321123740412860552008-12-30T16:20:00.000+03:002008-12-30T16:20:00.000+03:00Sawa! mzee wa changamoto nimekuelewa, lakini jambo...Sawa! mzee wa changamoto nimekuelewa, lakini jambo hili sidhani kama UN wamelaani maana huwezi kuilaani Israel kwa dhati bali wanaigiza tu yaani wanafiki. Mzozo wa mashariki ya kati nimekuwa nikisoma baadhi ya vitabu hadi nahisi kuchanganyikiwa. Mfano someni kitabu cha Teach yourself MIDDLE EAST(samahani nimesahau jina la mwandishi) mimi ninacho na natamka anayekihitaji nitamwazimisha au ukifika maktaba ya taifa angalieni katika shelfu za reference books kama unaingia mlango wa chumba cha watu wazima cha kujisomea. Lakini nasema tena anayetaka aseme tu nitmpatia asome.

KWA UFUPI
mzozo wa Israel ni kweli kama asemavyo dada Koero kwamba Israel haikuwapo hadi pale mwaka 1948 iliposimikwa rasmi. mzozo huo upo katika masuala ya JUDAISM, ISLAMIC,CHRISTIAN,........... jaza hapa nimesahau ya nne au nitarudi kesho kujijaza. Mambo hayo yamechangia kutofautiana kwa eneo hilo. jamani nitarejea kuna mambo nayachanganya samahani NITARUDI KWA AYA ZA MOTO kwani mpango wa ROADMAP wa Marekani ulikuwa unafiki tu. Nihitimishe hata kama nitaudi tena. MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA AU MASHARIKI YA KATI UTAKWISHA TU MPAKA MAREKANI, UINGEREZA NA ISARAEL WATAKAPOTAKA.MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-55036517999577038792008-12-30T12:43:00.000+03:002008-12-30T12:43:00.000+03:00Dah!! Kwa mujibu wa rafiki yangu ambaye ni msomi n...Dah!! Kwa mujibu wa rafiki yangu ambaye ni msomi na mwamini na ambaye nadhani alifanya utafiti wa huu mgogoro, ni kuwa kuna mkanganyiko mkubwa wa maamuzi ya kiimani na kiutawala. Yaani yatakiwayo na Umoja wa Mataifa si yale yaaminiwayo na Israeli. Sina hakika na hili na ntatumia msemo waliowahi kutuambia nikiwa nafanya kazi kwenye media house moja hapo home kuwa "no research, no right to say"
Naacha maana sijachunguza hivyo sina haki ya kusemaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-85387909865411538072008-12-30T10:33:00.000+03:002008-12-30T10:33:00.000+03:00tabia yako ya kudadisi cjui niite utu uzima! lakin...tabia yako ya kudadisi cjui niite utu uzima! lakini itakupelekea kujua mengi. tafta chakula cha akili na baadaye chakula cha roho.

hawa waisrael na wapalestina mambo yao wanayajua wenyewe. nashanga kanisani huwa tunaimba nyimbo za ninatamani kwenda Yerusalemu, jiji lenye vita na umwagaji damu kuliko maelezo. harafu tunaambiwa wayahudi ni taifa teule la mungu! Mungu huyu anawateuaje wagonvi na waonevu wakati yeye ana upendo?kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-53178289796793843142008-12-30T09:59:00.000+03:002008-12-30T09:59:00.000+03:00salam from khudorisalam from khudoriA Khudori Solehhttps://www.blogger.com/profile/15531512496843096454noreply@blogger.com