tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post2811417999015008418..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: BARUA YA SIRI NA USHAURI WA BURE KWA DADA SUBIKoero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-8952286286256527502009-12-18T13:21:36.226+03:002009-12-18T13:21:36.226+03:00Mie nimeisoma mara mbili na moja zaidi kisha nikaf...Mie nimeisoma mara mbili na moja zaidi kisha nikafikiria mengi. Simfikirii Subi (maana sidhani kama atakuja abda wamwambie ataweza ku-access facebook huko. Si mwajua addiction yake)
Lakini nafikiria ukweli huu ulioelezwa kwa style ya kipekee ya kuburudisha. Ulilofanya Da Mdogo Koero ni kutueleza ukweli wa mambo katika mtiririko usiochosha maana ulishashitukia kuwa habari hizi za kisisasa ungeziweka katika mfumo wa "moja kwa moja" ungetusinziisha nayo.
Labda ninukuu kipande kilichonifurahisha na ambacho nawaza KWANINI HAWAFANYI HIVI?? Umesema "Kutokana na ugeni huo yule mzee Makalioni ambaye ndiye mwenyekiti wa wazee pale kijijini aliitisha kikao cha dharura ili kutathmini mafanikio yaliyopatikana tangu kuchaguliwa kwa huyo mwakilishi wetu huko mjengoni (kama yapo) ili kujua kama kuna haja ya kumpa ridhaa zetu tena."
Hili nimeliandika na kulilia saana./ Haya ndiyo wanayostahili kuyafanya watendaji wa vijiji na sio MAIGIZO YA RAIS. Watendaji wanastahili kukutana na kujadili kama aliye madarakani amewahudumia kwa manufaa ya wanakijiji kama alivyoahidi ama la, na kama hajafanya hivyo basi "apigwe chini kwa kauli moja". Tungekuwa na umoja wa hivyo wala tusingepata shari, kwani wagombea wngeanza kuhesabu kuwa kijiji hiki na hiki na hiki na kile sina changu. Ni bora nirejee kutekeleza ahadi, la sivyo huu ndio muhula wa mwisho kiyoyozini.
Asante kwa kutufikirisha. Asante kwa kutuchangamotoosha na kutupenda mpaka ukamtoa kafara Dadako pekee Subi, ili kila ampendaye asikose kusoma bali awe na hekima zaidi.
Luv ya Sis
BlessingsMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-87742160621245966892009-12-18T00:11:02.298+03:002009-12-18T00:11:02.298+03:00Hivi kusoma barua za siri za watu wengine sio tabi...Hivi kusoma barua za siri za watu wengine sio tabia mbaya?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-26125007576808812182009-12-16T22:42:17.470+03:002009-12-16T22:42:17.470+03:00hahahahha! mie nazipenda hizi barua kweli yaani us...hahahahha! mie nazipenda hizi barua kweli yaani usipotoka na kitabu mwaka ujao dada Koreo yaani dah...anyway back to the letter, hawa viongozi wetu mmh...sijui tufanye nini... sasa dada Subi utagombea? heheheheFaith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-66796287084601890242009-12-16T19:05:31.340+03:002009-12-16T19:05:31.340+03:00Barua imeandikwa vizuri kwa kiswahili fasaha....Ka...Barua imeandikwa vizuri kwa kiswahili fasaha....Kazi nzuri...Hongera mwandishi

Faustine
drfaustine.blogspot.comFaustinehttps://www.blogger.com/profile/17253666093262801440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-81929686853871668992009-12-16T17:53:22.897+03:002009-12-16T17:53:22.897+03:00chagua mojachagua mojaMarkus Mpangala.https://www.blogger.com/profile/07494462428647043624noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-74005249278843414422009-12-16T14:19:57.907+03:002009-12-16T14:19:57.907+03:00Barua imetulia hiyo. Haya Da Subi zamu yako leo, k...Barua imetulia hiyo. Haya Da Subi zamu yako leo, kwa hiyo fanya haraka huko uliko jiandae ujembe ukifika tu unyanyuke. LolYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com