tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post2977854304451478065..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: NDOA NYINGI NA TALAKA NYINGI!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-8767634743734308932009-02-12T10:18:00.000+03:002009-02-12T10:18:00.000+03:00mpangala umenena hili swala pia nitete ni kwa nin...mpangala umenena hili swala pia nitete ni kwa nini tunaoana hata hatujua na wala hatuko tayari kujua.kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-36174792363848726462009-02-11T18:05:00.000+03:002009-02-11T18:05:00.000+03:00Kwanini watu wanaoa au kuolewa, kwanini wanaoana? ...Kwanini watu wanaoa au kuolewa, kwanini wanaoana? Kwanini watu wanatoka nje, kwanini wanatoa talaka, kwanini wanakubali kuoana? Kwanini kuoana? kwanini iwe lazima kuoana? kwanini iwe kama ilivyo?
Sijui lakini nasema hivi, kama ndoa ni halali ya mwanadamu basi kuachana ni halali ya mwanadamu LAKINI tukumbuke hata mpanzi alipopanda mbegu zingine zilipandwa mibani na zingine mwambani, lakini zile za kwenye ardhi nzuri zilizaa udongo mzuri.
Jendoa zetu zinaongozwa kwa falsafa gani? Mapenzi yetu yanakwenda kwa itikadi gani? Au tunaiga mambo ya kununu maua,zawadi,mabusu hadharani,kukumbatiana hadharani,kuongozana kama kumbikumbi nk.?
Kwanini mtu anakuwa malaya? au kwanini anatoka nje?
SWALI: nini kinachosababisha kuwa malaya? kinachotumika kwa umalaya ni nini? Na kwanini umalaya au kutoka nje ni tabia za wanandoa? kwanini ndoa hazidumu hata tukupigana makofi ya mawili kwa tofauti ambayo tumekosa falsafa na itikadi. KUMBE tunaiga kila kitu toka ughaibuniDUH! majuzi kuna ndoa ilifungwa na sherehe ikafanywa pale jirani Movenpick nyooooooo! eti bi harusi baada ya fungate kabanduliwa na X wake!!!! ha ha ha ha ha ha niliangua kicheko..... lakini jamaa kasema hakuna noma.
SWALI kwanini wanadamu wanafunga ndoa? Muungano wa watu wawili, nini kinachowaunganisha?
NAWAZAAAAAAA lakini jibu sipati
Basi ngojeni Lucky Dube awakumbushe simulizi zake katika IT IS NOT EASY..... halafu anasema 'the choice that i made, didnt workout!MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.com