tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post2995153307829634509..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: BAADA YA KUTIMIZA MWAKA MMOJA LEO TANGU KUANZISHWA KWAKE BLOG YA VUKANI KUFUNGWA RASMI LEOKoero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger16125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-85239082687460450162009-12-29T12:22:09.834+03:002009-12-29T12:22:09.834+03:00Chenye mwanzo kina mwisho. kutengnana siku zoote h...Chenye mwanzo kina mwisho. kutengnana siku zoote huwa ni kugumu sana. vitu vyote, huishia kwa kutengana. ila ni muhimu kutengana ili tujekukutana tena na kuwa pamoja!!!!kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-62483432004175408342009-12-28T18:02:13.294+03:002009-12-28T18:02:13.294+03:00Leo nimepata angalau neno la kuandika hapa tokana ...Leo nimepata angalau neno la kuandika hapa tokana na hii habari. Daima nilikuwa kimya.

UKWELI WANGU.
Sijanyoa msiba, ila nipo katika maombezi na maombolezo. Walau nijifariji kwakuwa naweza kujifariji.

HATA HIVYO

NAMHITAJI SANA DADA ASIMWE, ni 'WANTED' sana, mmesahahu wanablogu??????????????Markus Mpangala.https://www.blogger.com/profile/07494462428647043624noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-13083864525812733772009-12-28T17:54:47.891+03:002009-12-28T17:54:47.891+03:00??????????????????????????????????????????????????...?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????Markus Mpangala.https://www.blogger.com/profile/07494462428647043624noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-58220887312927813652009-12-27T01:59:29.629+03:002009-12-27T01:59:29.629+03:00Ngoja nilie, nikishamaliza ndo ntarudi kujua kulik...Ngoja nilie, nikishamaliza ndo ntarudi kujua kulikoni?!!!!!Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-6918624940265472242009-12-26T19:20:04.360+03:002009-12-26T19:20:04.360+03:00ndio imekuwa hivyo tena?ndio imekuwa hivyo tena?mumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-54498264952340684972009-12-25T22:11:37.705+03:002009-12-25T22:11:37.705+03:00Dada, ni vigumu kuamini, lakini kama ndivyo, naku...Dada, ni vigumu kuamini, lakini kama ndivyo, nakutakia kila lenye Heri, mafanikio tele kwa kila jema ulifanyalo.
Naamini bado tupo pamoja kwani kama hutofundishia kwenye darasa lako basi elimu utaitoa kwa kupitia madarasa ya wengine. Binafsi nimekuwa nikiifurahia saaaaana blog yako kwani sikuwa natamani chochote ukiandikacho kinipite,japokuwa nimekuwa nikiweka maoni yangu mara chache.

Da! Lakini hapana, ni kweli dada au watania tu? Hebu tusubirie tuone ni kwa namna gani utafunga mjadala huu. Pengine watuweka tumbo joto tu.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-56287435233601129532009-12-25T16:27:54.489+03:002009-12-25T16:27:54.489+03:00Dada Koero
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda m...Dada Koero
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwakoMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-35514387243996495822009-12-25T16:00:26.598+03:002009-12-25T16:00:26.598+03:00OMG....Kulikoni???
Jamani mbona nashindwa kuamini?...OMG....Kulikoni???
Jamani mbona nashindwa kuamini? katika blog nazopenda kusoma hii ni mojawapo,sasa tutapata wapi hadithi na mafundisho ya bibi Koero? Emcheku!!!

Mmmh! ni ngumu lakini inabidi tueshimu maamuzi yako au Emcheku ya kwa bibi Koero ilijibu? tuambie ili tuanze kujiandaa kuja kucheza mduara hahahhaaa! au umejiingiza kwenye siasa weye?? maana kampeni ndio zilisha anza..LOL

Sio rahisi kuamini kama kweli leo ndio mwisho lakini usiache kututembelea vibarazani kwetu upatapo nafasi,hata kama ni kampeni za uchaguzi usisite kutushirikisha tukupigie debe...hahahahhahaa!

Merry xmas and happy new year naomba ukienda kwa bibi Koero au hata kama ukiongea nae kwenye simu mpe salamu zangu japokua ndio hatutapata tena simulizi zake.
much love.xxPASSION4FASHION.TZhttps://www.blogger.com/profile/07390624580058921716noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-78291754666055241002009-12-25T15:57:34.548+03:002009-12-25T15:57:34.548+03:00Koero anatania tu. Naamini NIKO SAHIHI!Koero anatania tu. Naamini NIKO SAHIHI!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-2856173062085718722009-12-25T11:53:58.097+03:002009-12-25T11:53:58.097+03:00............................MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-63246733443626192182009-12-25T08:49:03.565+03:002009-12-25T08:49:03.565+03:00Is it?Is it?Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-53684104418694135402009-12-25T07:59:46.368+03:002009-12-25T07:59:46.368+03:00SITAKI KUAMINI.... NA ITANICHUKUA MUDA KUKUBALI.
I...SITAKI KUAMINI.... NA ITANICHUKUA MUDA KUKUBALI.
Inawezekana una sababu nzito za kufanya hivyo...
MIMI BADO NINA AMINI KUBLOG NI SEHEMU YAKO YA MAISHA, NI KARAMA NA KIPAJI ULICHOPEWA NA MOLA. KWA KUTOENDELEA KUKITUMIA, UTAKUWA HUJATUNDENDEA HAKI WAPENZI WA BLOG HII.

kwa imani hiyo niliyokuwa nayo(KUBLOG NI SEHEMU YA MAISHA YAKO) naamini huwezi kuacha moja kwa moja...( NIMEJISHTUKIA NAJIFARIJI...)

Nikutakie tu mafanikio mema kwenye hizo shughuli zilizo muhimu kuliko kublog...Godwin Habib Meghjihttps://www.blogger.com/profile/09439848817559875872noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-31257429252019536542009-12-25T07:46:17.119+03:002009-12-25T07:46:17.119+03:00:-(:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-24360956183005576102009-12-25T05:19:06.805+03:002009-12-25T05:19:06.805+03:00Blog inafungwa?...are you kidding me?...Sorry just...Blog inafungwa?...are you kidding me?...Sorry just somehow siwezi kuamini ila naona habari ndio hiyo.

Anyway japo nimeingia kijijini kwa miezi kadhaa or niseme muda mfupi, ila nime-enjoy kila post iwekwayo hapa. Post zako zilikuwa zinanifundisha, kunipa fikira na kunichekesha pia. It was such an entertainment to me that I can't believe you are actually closing it :-(.Ila ndio uamuzi wako dada.

Mungu awe nawe pia dada na baraka zake zote! Nitaku"miss" kweli yaani!!! dah!Faith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-85951918536552280332009-12-25T03:08:47.200+03:002009-12-25T03:08:47.200+03:00NO, NO, NO, Koero napenda kuamini katika nafsi yan...NO, NO, NO, Koero napenda kuamini katika nafsi yangu kuwa unatania tu hapa. Kuacha kublog? Koero nashindwa la kusema na nahisi natokwa na machozi kwani mada zako, mijadala yako vimekuwa ni vya kuelimisha na umekuwa iunainua mijadala sasa leo nini. Kwa kweli kwa mimi hili ni pigo haswa.

Ila kama kweli umeamua hivyo basi ni uamuzi wako. Kwa sababu kila binadamu anajua napoamua kitu anafanya nini. Koero nakutakia kila jema na lolote utakalofanya na pia unajua ni vipi najisikia NAKUPENDA SANA MDOGO WANGU nadhani unajua.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-84947821726720822102009-12-25T02:39:52.068+03:002009-12-25T02:39:52.068+03:00Kuukubali ukweli wa kukuruhusu wewe kuacha ku-blog...Kuukubali ukweli wa kukuruhusu wewe kuacha ku-blog ni jambo lisilo la mzaha. Ni ngumu kukuacha uende ilhali kila siku umekuwa ukiibua mijadala, habari, maswali na maandiko yaliyonifanya niendelee kujivunia uwepo wako kama nijivuniao wa wengi
Lakini nakubaliana nawe katika hili kwa kuwa umeomba na hapa nanukuu "kufanya mambo mengine ambayo naamini yatakuwa bora zaidi ya kublog"
Mara zote nimekuwa nikikutakia lililo jema na sitasita kufanya hivyo
Na kama ufanyalo ni jema zaidi ya ku-blog, sina ninalokuombea zaidi ya mafanikio huko uhamishiako juhudi.
Bado ntaendelea kutembelea na kujikumbusha mijadala mbalimbali, kui-desa na kupata mawazo ya kile niwezacho kuandika
MWISHO najua kuwa HUJAACHA KU-BLOG bali utakapopata hili na lile la kutushirikisha utafanya hivyo. Ni kuwa hatutakutegemea kubandika maandiko kila siku ila twajua mara chache chache utakuwa nasi.
UNAPENDWA KAMA ILIVYO SIKU ZOTE NA NAJIVUNIA KUKUFAHAMU
BlessingsMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com