tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post3381570798960671122..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: SHIRANGA LA UGONJWA WA MALARIA: BORA TUFE KULIKO KUATHIRI MAZINGIRA!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-21822590744360677742009-05-04T14:47:00.000+03:002009-05-04T14:47:00.000+03:00dawa za maralia na magonjwa mengine ni za kiasili ...dawa za maralia na magonjwa mengine ni za kiasili na misosi zaidi.

hapo kali nilikuwa na maralia sugu. sikupona kwa kemikali za wazungu. wakati naishi moshi nilitibiwa na mitishamba ya wamasai. niliporudi bukoba nilitibiwa na enkaka, nyarubale na nyingine. hapa dar kana mama mmoja kijichi anatibu kwa dawa ya kihaya. guarantee ni mwaka mzima regardless unaishi kwenye mbo au la.

vinginevyo tumia aloevera orijino. kunywa na uchungu wake, hamna mchezo. ukila matunda kama tikiti maji, tafuna mbegu zake, nakwambia itaondoka yenyewe na unajenga kinga.

punguzeni vyakula vya kizungu, kula vya kibongo kulinda afya. maralia kwangu sio ishu yaani, hainizuii kuingia kwa ofisi wala kuniiingilia maishanikamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-23789384873714933692009-05-03T19:05:00.000+03:002009-05-03T19:05:00.000+03:00Jamani Koero dadangu, pole sana!shukrani kuwa uko ...Jamani Koero dadangu, pole sana!shukrani kuwa uko fine!Mwanasosholojiahttps://www.blogger.com/profile/11175747029636518855noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-58994372588587587832009-05-03T16:40:00.000+03:002009-05-03T16:40:00.000+03:00Koero mdogo wangu pole sana kwa kuugua hilo gonjwa...Koero mdogo wangu pole sana kwa kuugua hilo gonjwa ambalo linaua watu wengi. Namshukuru mungu u salama sasa

Hii mada yako inabidi ipelekwe mbele kwani ni kali mno.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-56460512440630031782009-05-03T09:27:00.000+03:002009-05-03T09:27:00.000+03:00Pole sana kwa kuugua malaria na tumshukuru mungu u...Pole sana kwa kuugua malaria na tumshukuru mungu umepona.
Nchi kama Afrika ya Kusini wao wanatumia DDT ila matumizi yao ni tofauti na hayana athari katika mazingira kwa sababu wao wanapiga dawa ndani ya nyumba na hivyo kuzuia mbu kutua kwenye kuta zao.
Kitu kikubwa kwenye mapambano dhidi ya malaria ni kinga kwa maana ya kujikinga kung'atwa na mbu kwa kutumia vyandarua vyenye dawa, kuharibu mazalia ya mbu na wewe mwenyewe kuongeza kinga ya malaria mwilini kwa kutunia dawa za asili kama aloe veraBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-42134937611522886102009-05-02T18:25:00.000+03:002009-05-02T18:25:00.000+03:00Pole sana mdogo wangu yaani malaria huwa nashindwa...Pole sana mdogo wangu yaani malaria huwa nashindwa hata kupata maneno ya kuelezea jinsi nnavyo iogopamumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-59703690323993652752009-05-02T12:58:00.000+03:002009-05-02T12:58:00.000+03:00Nianze kwa kusema POLE SANA DADANGU. Mimi nilipoon...Nianze kwa kusema POLE SANA DADANGU. Mimi nilipoona kimya nikajua uko VACATION Arusha kumbe ulikuwa umekwenda "kufunuliwa" mengine mengi kuhusu hili. Asante! Sasa unaona faida ya kuangalia mambo katika mtazamo chanya? Hujarejea hapa na kuanza kulilia pole za kuugua, wala kueleza ulivyotapika ama kujisikia vibaya, bali umeangalia tatizo kwa mtazamo chanya zaidi na kuangalia namna ya kuzuia kutokea tena.
Kuhusu mada hii naamini umeongea na kuweka bayana takwimu na mtazamo wako. Pia Da Subi ameeleza kiutaalamu na kuweka bayana mtazamo wake. Wangu unafanana na wenu. Da Subi amesema "Politics! Politics! Politics! Too much politics will keep on dividing and killing us even on things that we needed no any tiny bit of it in." Ninaamini / na wala sitashangazwa kuona kuwa hata waliosaini mikataba ya kusitisha madawa hayo hawajui kwanini wamefanya hivyo. Si ndio kawaida yao kusaini tu kufuata upepo? YAANI KUNA WACHACHE WASIOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE TANZANIA YA SASA. Hizi takwimu wanazotoa za watu 20,000 kufa kwa Malaria kwa mwaka sijui ni za mkoa mmoja kama wa Kagera ama la? Sitaki kuamini hata kwa sekunde moja kuwa Tanzania inapoteza watu 20,000 tu kwa mwaka kutokana na Malaria. Hii idadi ni ndogo kuliko hata ya watoto wanaokufa na ugonjwa huu nchini kwa mwaka. Takwimu zaonesha kuwa karibu asilimia 2 ya vifo vya watoto nchini vyatokana na Malaria, sasa serikali ikisema watoto wanaopoteza maisha yao kwa mwaka nchini Tanzania ni wangapi, kisha tukajumuisha na watu wazima tunaweza kuona namba itakavyokuwa kubwa. Lakini nina hakika TAKWIMU ZA SERIKALI SI SAHIHI NA ZIMEJAZWA "MAFANIKIO YA KISISASA" ili kuonesha mafanikio ya vita dhidi ya Malaria. Na hili nina hakika nalo na hata wakisema kuweka REHANI maisha najua nitashinda tuu maana nina hakika takwimu zao ni ndogo mnooo. Lakini narejea tena kuwa kama alivyosema Da Subi (na mimi narekebisha kidogo kuleta maana zaidi) kuwa POLI-TRIX, POLI-TRIX, POLITRIX. Kinachoangalia hapa ni nini wataweza kusema mwakani (wakati wa kampeni) kuonesha takwimu za mafanikio yao. Na kibaya zaidi, HAKUNA ANAYEHOJI USAHIHI WA TAKWIMU HIZO kwa sababu wanaoitwa waandishi wa habari nyumbani na ambao ndio wanaokwenda "kupokea" takwimu hizi ni "ma-ripota" tuuuu. Hawaulizi maswali kupata ufafanuzi zaidi na hawaleti wachambuzi kuangalia uwezekano wa usahihi wa taarifa za wanasiasa wetu. Wao kila wakati ni "akiongea na waandishi wa habari..." "katika taarifa kwa vyombo vya habari.....", "akizungumza na kituo hiki ofisini kwake.....", na kadhalika. Hakuna awezaye kuhoji ni vipi wameweza kupata takwimu ikiwa hata takwimu za wagonjwa wa siku tatu zilizopita unaweza kuzikosa kwenye baadhi ya vituo vya afya nchini Tanzania. Niliwahi kuhoji uwezo na nia ya waandishi wetu hapa (http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/02/dah-waandishi-wetu-jamani.html) na bado naamini WAANDISHI WENGI HAWATEKELEZI MAJUKUMU YAO bali nao ni kama WANASIASA WEENGI ambao wanasaini mikataba kuwafurahisha ma-GLOBAL SHERRIF wanaowaeleza kitu cha kufanya hata kama hakina manufaa kwa wananchi waliowachagua.
Kama alivyosema Dada Subi, SIASA ( namaanisha utashi wa kisiasa)HAINA NAFASI KWENYE UNDANI WA UTEKELEZAJI WA MAISHA YA WATU KATIKA MAMBO KAMA VITA DHIDI YA MALARIA. Lakini bahati mbaya sasa nchini kwetu kila mtu anaangalia kitakachomrejesha kwenye "mlo" katika uchaguzi wa mwakani. Hii ni pamoja na kuwadanganya wananchi na kuwaamulia yasiyo na tija kwao.
Naacha. Tukutane "Next Ijayo"Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-27725762180911553772009-05-02T12:45:00.000+03:002009-05-02T12:45:00.000+03:00This comment has been removed by the author.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-83357404284638823352009-05-02T12:07:00.000+03:002009-05-02T12:07:00.000+03:00Koero, pole sana kwa kuugua Malaria. Ninafahamu ma...Koero, pole sana kwa kuugua Malaria. Ninafahamu machungu ya ugonjwa huo hasa baada ya mimi kutundikwa kwinini mwaka 2002.
Kuhusu kipengele cha matumiz ya DDT, naomba nibandike hapa, majibu yangu niliyoandika kwenye kundi pepe la muXalumni ambalo mimi ni mwanachama wake, nitaiweka kama nilivyoiandika kule na nilishawahi kuitetea DDT mwaka jana:

---------- Forwarded message ----------
From: Subi>
Date: Sun, Apr 19, 2009 at 12:00 PM
Subject: Re: [MUCHS Alumni] ITN
To: "Dr.George M"
Cc: MUCHS Alumni muxalumni@googlegroups.com

Thanks for sharing the study and findings.
I think we still have a war to fight in this. At the moment Malaria seem to be in the winning side. A multi approach is required in eradicating this disease. I wonder why there is no much talk about DDT anymore. Please do not bombard me with it's ill health effects - what's more ill than a death of a child due to Malaria every 1 minute that passes us by? and oh, about the environment concerns - please, give me a break, how much have the third world cared for the environment? and what does the Global Warming report project towards Sub Saharan Countries? - Expect the worst. What good does the environment do if all it does is propagate the breed of more mosquito and other disease vectors? I already know about that, am not ready for a lecture now.

I still defend and advocate for the wise use of DDT in eradicating Malaria. We have used it before at our home in Moshi and for the first 22yrs of my life I never suffered any illness due to Malaria until one stupid day after just a 1 month's field work in Mlali, Morogoro. My kidneys are just perfect, my relatives as well and none had ever been diagnosed with Cancer due to the DDT we carefully used to kill mosquitos. Why did we stop using it? Well, where can we buy it? It's no more in the shops and "Duka la Ushirika" is no more. Politics! Politics! Politics! Too much politics will keep on dividing and killing us even on things that we needed no any tiny bit of it in. Why aren't Italians suffering from the ill effects of DDT? This notion of just agreeing and accepting everything sometimes tickles me off badly big time. Why would they say, "no don't use DDT, it's bad"....after they themselves used it? Puhleez! Alright, say they are right, okay, what difference does it make except changing the mode of death? It's still a death anyway, isn't it?

While others are pushing and making Nuclear Bombs, we on the other end are can not agree to make DDT for safe local use, and we proudly boast that we have distinguished scientists? Yeah, distinguished scientists my foot! Yaani we are debating about making and using DDT carefully as if we are careless? Boy, does anybody need proof what we are. Basically by agreeing with them to not use DDT, we have accepted that we can't be careful. Please give a me a good reason to dispute the benefits of using DDT (and please do not repeat what I said I already know - there is no point of doing that).
What a pity!
I think I am talking to myself too much here.
Have a good week!
.end.
SubiSubi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.com