tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post4395123907808995201..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: CHAI YA MKANDAA NA MUHESHIMIWA!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-26529926340764454412010-11-30T19:21:48.311+03:002010-11-30T19:21:48.311+03:00Hamjambo Blogers? nimefurahi kuona mawazo ya Koero...Hamjambo Blogers? nimefurahi kuona mawazo ya Koero, mimi nina hoja moja tu ambayo kwa Koero na yeyote atakayepata nafasi ya kuonana na rais ni muhimu kumuuliza;

Maelezo: "Siku za muvua maji hujenga desturi ya kuzusha mikondo katika majumba ya watu" Swali: "Lipi jema kati ya kujengea mfereji maji yaende yanakotafuta kwenda ama kuziba mkondo huo?"

Akisha kupa jibu, malizia chai yako na uondoke, usubiri miaka mitano itakwishaje.Jacob Malihojahttps://www.blogger.com/profile/09736640059216467240noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-24954326954793247922010-11-27T08:29:12.705+03:002010-11-27T08:29:12.705+03:00mmmh! Haya nenda mwana nenda!
Da Mija, nadhani hi...mmmh! Haya nenda mwana nenda!

Da Mija, nadhani hiyo ni simpo kabsaa..kuchekacheka kwa sana hata kwa mambo ya msingi ndo atatuachia :-(o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-15706847946270644672010-11-26T17:25:38.114+03:002010-11-26T17:25:38.114+03:00Naungana na dada Yasinta, mara nyingi inatokea kuw...Naungana na dada Yasinta, mara nyingi inatokea kuwa unapokutana na mtu mambo kibao ya kuzungumza yanakuja..Siku hiyo ikitokea, utapata mengi tuu, hapata kuwa na shida kabisa.Nakuombea mema!!
Weekend njema!!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/05741435149967083860noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-33696070424963937032010-11-26T17:10:21.873+03:002010-11-26T17:10:21.873+03:00Mwulize kama anaona kuna umuhimu wa kuwa na katib...Mwulize kama anaona kuna umuhimu wa kuwa na katiba mpya yenye kutoa mwongozo sahihi ktk mambo mbali mbali na hasa hasa kwenye sheria za uchaguzi na tume ya uchaguzi.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-75790906650207994432010-11-26T13:08:53.176+03:002010-11-26T13:08:53.176+03:00Yapo mengi ya kumuuliza ila muulize, pindi amaliza...Yapo mengi ya kumuuliza ila muulize, pindi amalizapo muda wake je kumbukumbu gani chanya atakayoiachia nchi? kwa maana nyingine anadhani atakumbukwa kwa lipi la msingi alilowafanyia wananchi?Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-65675675552200407142010-11-26T12:54:04.798+03:002010-11-26T12:54:04.798+03:00Mmmh!Mmmh!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-3227384030666559122010-11-26T12:42:24.167+03:002010-11-26T12:42:24.167+03:00Nadhani wakati mwingine la kusema linatokea pale u...Nadhani wakati mwingine la kusema linatokea pale unapokutana na mtu kwa hiyo usihofu la kusema litakuwa na litakuwa la muhimu sana ndoto nzuri K.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-5374451131047210802010-11-26T11:47:07.161+03:002010-11-26T11:47:07.161+03:00Binti unawaza mambo makubwa weye...., Nakuombea nd...Binti unawaza mambo makubwa weye...., Nakuombea ndoto yako iweze kutimia, ila jiandae kwa kweli maana usije ukajikuta unashikwa na kigugumizi, matatizo tuliyo nayo ya msingi ni mengi na kikubwa zaidi mshauri asione haya kutumia sera za CHADEMA ambazo kwa kweli ziliwavutia wapiga kura wengi kwa mfano kushusha bei ya cement, mabati na elimu bure mpaka kidato cha sita, akiamua kubana matumizi ya serikali yake na kupunguza misamaha ya kodi atamudu.

yapo mambo mengi ya msingi ambayo hata yeye anaweza kukiri kuwa wakati wanatunga ilani yao ya uchaguzi mwaka huu walikuwa na makengeza na hawakuyaona na ndio maana wakajikuta wanapigwa kumbo na wapinzani.Ramsonhttps://www.blogger.com/profile/00148250682968870464noreply@blogger.com