tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post4772101795865772163..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: KUELEKEA UCHAGUZI MKUU: NAOMBA NIWE MTABIRIKoero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-24410946450070333892022-11-09T03:58:24.345+03:002022-11-09T03:58:24.345+03:00Nice post thankks for sharingNice post thankks for sharingHard Drive Repairs Las Vegashttps://www.hard-drive-repairs.com/us/nevada-hard-drive-recovery/hard-drive-repairs-las-vegas.shtmlnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-34893393756095864072010-02-03T10:46:28.681+03:002010-02-03T10:46:28.681+03:00nina hakika huu ni ufunuo ambao kila mmoja anataki...nina hakika huu ni ufunuo ambao kila mmoja anatakiwa kujifunza kwayo. kwa hakika kila mmoja wetu anatakiwa kujielewa zaidi kuhusu waigizaji hawa. ndiyo maana Ben Mtobwa aliwahi kuandika katika kitabu chake cha NYUMA YA MAPAZIA kuwa wanasiasa ni waigizaji wazuri, wala haina haja ya kuwa na elimu ya nyota/wapigaramli.

siasa ni kinyume na kile ambacho tunakiona kile leo na hakika ni wakati wa mapinduzi.

@ Kamala= nielewevyo daraja na msingi wa daraja kwamba hujengwa mahali penye mto lakini lile la manzese siyo daraja bali ni sehemu ya barabara, ingawaje daraja lolote ni sehemu ya barabara lakini msingi a daraja la manzese ni kivuko cha watembea kwa miguu.

nadhani mwenyekiti wa Vukani alimaanisha daraja mahali penye mto. huo ni aina ya msemo kwa wanasiasa ambao huahidi mengine yasiyowezekana. ahadi ya ajira milioni moja haiwezi kutekelezeka mahali ambapo hapana ujasiri wa kitaifa, huwezi kutengeneza ajira kwa wananchi ambao hujawapa elimu ya UTAMBUZI wa ajira, na wanaoajiriwa ni wale tu wenye kutambua lakini ni 40% ya watanzania. CCJ ni political Bargain........MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-72826829771122953092010-01-31T10:14:16.436+03:002010-01-31T10:14:16.436+03:00ulichosema sio kigeni sana kwani ndio kawaida ya w...ulichosema sio kigeni sana kwani ndio kawaida ya wanasiasa na ndio maana sipendi kujihusisha na siasa saana.

hapa naomba nikunukuu na kukubishia......

"" Ni nani asiyejua kuwa wanasiasa ni watu wasiotabirika, wanaweza kuahidi kujenga daraja mahali pasipo na mto, wanaweza kudondosha machozi kana kwamba wanauchungu,""

pale Manzese DSM kuna daraja kubwa sana ila hakuna mto, kwa hiyo inawezekana kujenga daraja pasipo namto!

harafu kuna waliao kwa furaha au kufurahiya michezo mingine kama tendo la ngono na kwa hiyo sio lazima uwe na uchungu kulia.

ni ubishi tu wakawaidakamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-68795559690278759892010-01-31T08:32:38.392+03:002010-01-31T08:32:38.392+03:00Dada Koero hapo umenena kwa kweli, labda niwaombe ...Dada Koero hapo umenena kwa kweli, labda niwaombe wadau wa blg hii wahifadhi haya maandishi kama rejea hadi pale uchaguzi mkuu utakapofika......Anonymousnoreply@blogger.com