tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post4818715595089396576..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: KAKA MATONDO, USIONE KIMYA NIKO HUKU!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-26081483162098390192010-10-23T23:44:35.741+03:002010-10-23T23:44:35.741+03:00Mtoto unakifua kizuri wee!:-(Mtoto unakifua kizuri wee!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-31825420690934089832010-10-23T01:30:15.161+03:002010-10-23T01:30:15.161+03:00INAWEZEKANA NI UBUSY KATIKA UCHAKACHUAJI WA KURA, ...INAWEZEKANA NI UBUSY KATIKA UCHAKACHUAJI WA KURA, UBUSY UTAPUNGUA BAADA YA OCT 31.Godwin Habib Meghjihttps://www.blogger.com/profile/09439848817559875872noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-87353654988363424772010-10-22T23:29:49.507+03:002010-10-22T23:29:49.507+03:00Haleluya! amepatikana akiwa hai kwenye kampeni za ...Haleluya! amepatikana akiwa hai kwenye kampeni za kukimbilia mjengoni Dodoma.......lol Koero huagi?mpaka kaka akaamua kutoa tangazo?
Haya tumeshukuru u mzima wa afya tele endelea kuchoma hako kamuhogo walaji tuko wengi hahahaaa!ubarikiwe sana.PASSION4FASHION.TZhttps://www.blogger.com/profile/07390624580058921716noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-335014919435476942010-10-22T16:23:48.346+03:002010-10-22T16:23:48.346+03:00waama, afadhali umekuja.
Si Uliniambiaaaa,
kwamba...waama, afadhali umekuja.
Si Uliniambiaaaa,
kwamba wajaaaa
Markus nakuongojaaaa,
siku,miezi inapitaaa,
sijakuona mchungaji mamaaa,
Mi napata mashakaa,
usinisahau kabisaaaaaaMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-37921114302755508172010-10-22T16:04:40.030+03:002010-10-22T16:04:40.030+03:00duh! nyoka katoka pangoni hatimaye....lol!duh! nyoka katoka pangoni hatimaye....lol!o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-76857738614828998472010-10-22T14:44:27.533+03:002010-10-22T14:44:27.533+03:00Afadhali umesikika na tumefurahi kusikia kwamba hu...Afadhali umesikika na tumefurahi kusikia kwamba hujambo wewe pamoja na familia yako. Jichomeeni kamuhogo kenu salama lakini mkumbuke kwamba wachomaji wachache lakini walaji wengi.

Utarudi lini mtandaoni kwako na kuendelea kublogu kama zamani? Blessings!!!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-14140214547884020992010-10-22T13:50:32.090+03:002010-10-22T13:50:32.090+03:00Alahaula! Ni furaha ilioje kujua kuwa u mzima wa a...Alahaula! Ni furaha ilioje kujua kuwa u mzima wa afya yaani we hujui tu ni kiasi gani unapendwa na ulikuwa/una-missiwa. Mwenyezi Mungu na awe nawe kwa kila utendalo huko Arusha. MMh! sasa roho zitatulia PAMOJA DAIMA. NA TUKUMBE SISI SOTE NI NDUGU NA WATPOTO WA BABA MMOJA MMOJA AKIPOTEA KWA MUDA BASI WENGINE HATUNA RAHA KABISA. aHSANTE KWA KUJIBU HARAKA SANA. SIKU NJEMA NAWE.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com