tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post5379501484219288233..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: SALAAM ZA MAKABILA YETUKoero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger22125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-15710894717867977072022-09-07T10:45:37.223+03:002022-09-07T10:45:37.223+03:00Wajibu namna hii mpola za kukaya. Au eit ale mpola...Wajibu namna hii mpola za kukaya. Au eit ale mpola duAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-74121055555143879182020-11-04T11:03:02.580+03:002020-11-04T11:03:02.580+03:00Yes amekosea sio mwadila ni Mwangaluka ndo mana ya...Yes amekosea sio mwadila ni Mwangaluka ndo mana ya habari za asubuhi hiyo mwadila inatumika mchana na jioni mpka usikuAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/09473766715993218184noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-47635513327230235602020-07-24T14:33:59.242+03:002020-07-24T14:33:59.242+03:00Mtu akikwambia usindile unamjibu vpMtu akikwambia usindile unamjibu vpAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/04893060654111904428noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-83500837066022923012020-06-29T02:20:32.988+03:002020-06-29T02:20:32.988+03:00Je habari za asubuhi tunasemaje kwa kwa lugha ya ...Je habari za asubuhi tunasemaje kwa kwa lugha ya
kibondei?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/10957585745125837591noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-38885014109480537032020-05-16T00:16:16.694+03:002020-05-16T00:16:16.694+03:00Wasukuma tunasema mangalokeWasukuma tunasema mangalokeAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/14499149417328056392noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-84825302388056197002018-08-31T20:38:13.279+03:002018-08-31T20:38:13.279+03:00Wangaluka.. Walampola... Kinyamwezi.. Wangaluka.. Walampola... Kinyamwezi.. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/02157317303230927694noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-5284012507857264782018-06-13T07:31:06.623+03:002018-06-13T07:31:06.623+03:00Na mie naomba nikurekebishe kwenye kibena, kamwene...Na mie naomba nikurekebishe kwenye kibena, kamwene hutumika kwa watu wasioonana mda mrefu, kama mnaonana kila siku wanatumia "ulamwike" mkinga "ulamwihe" mpangwa "ulamwikhe" tofaut ya makabila haya matatu ni matamshi na rafudhi tu. Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/11484881993039335407noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-33413378727012571092017-04-05T21:53:29.091+03:002017-04-05T21:53:29.091+03:00Hapo kwenye kinyakyusa Habari ya asubuhi tunasema ...Hapo kwenye kinyakyusa Habari ya asubuhi tunasema "otwa lobhonjo" au "mlembwike" au neno mghonile hutumika wakati wowote iwe asubh mchana au jioni japo hata mchana tunasema mwangele au otwo pamuse na usiku tunasema otwa pakeloo" ambapo huweza kujibizana "mghonile" "mghonile" "ndaga" "ndaga"Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08106481218113562420noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-13448983955053333162017-02-18T09:34:07.999+03:002017-02-18T09:34:07.999+03:00SwadaktaSwadaktaClarencenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-42545220481141566222016-06-21T17:33:02.601+03:002016-06-21T17:33:02.601+03:00KUSUKUMA - Mwangaluka - habari za asubuhi. KUSUKUMA - Mwangaluka - habari za asubuhi. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-26655457592530852372016-01-23T17:57:35.647+03:002016-01-23T17:57:35.647+03:00Kisukuma umechemka mzeiya, mwadela sio habari za a...Kisukuma umechemka mzeiya, mwadela sio habari za asubuhi, mwadela ni habari za mchana/jioni/za kushindaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-71863205328307647632014-03-04T13:10:09.472+03:002014-03-04T13:10:09.472+03:00Mwangaluka kisukuma za asubuhi. Mwadila ni jioni.....Mwangaluka kisukuma za asubuhi. Mwadila ni jioni... tambua ya kuwa kinyamwezi na kisukuma salamu hazitofautianiNick Ld Mwanduhttps://www.blogger.com/profile/12816830104022773467noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-59280330616569872982009-09-25T17:38:32.398+03:002009-09-25T17:38:32.398+03:00Kinyaki pia hutumia 'ukwasilee' (akiwa mmo...Kinyaki pia hutumia 'ukwasilee' (akiwa mmoja) na 'mkwasilele' (wakiwa wengi), lakini mara moja moja sana.

Mzee wa changamoto: salamu nyingi za kibantu hazitafsiriki vema ikiwa unataka iwe hivyo. Pengine mwanzo ilikuwa hivyo lakini hali ya kutumika kama salamu inazififisha maana za kimaneno moja moja.

mfano 'shikamoo' na mdogo wake 'marahaba' tukizifuata maana zao tutakuwa hatusalimiani, uwongo?

salamu kama 'habari za asubuhi/mchana na kadhalika' huwa haina maana hasa kujua 'hali' husika. ndio maana majibu ya salamu hii asilmia kubwa (pengine 96+) ni 'nzuri'. maana ya salamu hizi ni kutambua na kutambulika katika jamii na uwapo wa wanajamii wenyewe. ingawaje hata hivyo maana za naneno yaliyomo katika salamu zetu hayafishwi katika matumizi yasiyo salamu.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-53207404960150075602009-09-24T08:08:41.570+03:002009-09-24T08:08:41.570+03:00waongelamo?-kijita. na pia Wachio nade?-kijaluowaongelamo?-kijita. na pia Wachio nade?-kijaluoSisuluhttps://www.blogger.com/profile/17519890246968676787noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-60480508955107571712009-09-20T12:55:45.604+03:002009-09-20T12:55:45.604+03:00koero
wabonaki ni kwa mkubwa kwenda kwa mdogo. vi...koero

wabonaki ni kwa mkubwa kwenda kwa mdogo. vinginevyo inabidi ilembwe lembwe.

za asubui ni OloileOtai au plural Mulailemtaikamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-57178976193247650382009-09-19T18:19:08.198+03:002009-09-19T18:19:08.198+03:00Hili ni somo la bure, siku nyingine utuwekee na ji...Hili ni somo la bure, siku nyingine utuwekee na jinsi ya kushukuruBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-36918166057973438872009-09-19T11:29:46.621+03:002009-09-19T11:29:46.621+03:00Nakupa big up kwa kutuletea salamu kadha wa kadha....Nakupa big up kwa kutuletea salamu kadha wa kadha.
Naomba kufanya marekebisho kidogo kwenye Kibena, nadhani na Kihehe yanaweza kuingiliana.
Katika Kibena, Kamwene ni salamu unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza pasi kujali ni asubuhi, mchana ama jioni.
Salamu itumikayo kumaanisha 'habari ya asubuhi' husemwa 'ulamwihe' ama 'ulamwihe wuli' ambayo kwa tafsiri ya moja kwa moja ya kimsamiati ni kusema 'umeamkaje'
Sina hakika na Kihehe, sina ujuzi nacho. Lakini nina hakika na Kisangu cha huko Mbarali, Mbeya kwani kinaingiliana sana na Kibena.
Ahsante sana da Koero. Wikendi njema.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-67153127092546881082009-09-18T20:39:24.285+03:002009-09-18T20:39:24.285+03:00Sasa mie napenda salamu hizi zikitafsiriwa moja kw...Sasa mie napenda salamu hizi zikitafsiriwa moja kwa moja. Mfano WABONAKI itafsiriwe kama "umeona nini?"
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa. Niliku-miss dadangu. Nasubiri "vijimambo" vya huko ulikopotelea.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-39948063261148459362009-09-18T17:54:05.698+03:002009-09-18T17:54:05.698+03:00Koero nawe asante sana kwa salamu hizi. Hapo kweny...Koero nawe asante sana kwa salamu hizi. Hapo kwenye kingoni unaweza kusema UYIMWIKI kama ulivyosema au pia HABARI ZA LUKELA ni sawa tu. Nimefurahi kweli haya uyimwike. KIMATENGO: Kujumuka= Habari za asubuhiYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-80396999304783647652009-09-18T17:17:15.602+03:002009-09-18T17:17:15.602+03:00Jamani kukosea ndio kujifunza.
kamala, mambo vipi,...Jamani kukosea ndio kujifunza.
kamala, mambo vipi, yawezekana ikawa ya asubuhi au ya jioni...au?
na dada Schola hilo la wasukuma niliambiwa tu si unajua kuuliza si ujinga...au nimedanganywa mwayego.....LOL
haya na wengine wekeni changamoto zenu humo.....Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-16985269649292636162009-09-18T16:32:43.751+03:002009-09-18T16:32:43.751+03:00wewew kihaya umechamsha. Wabonaki sio za asubuhi b...wewew kihaya umechamsha. Wabonaki sio za asubuhi bali ni mambo vpkamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-39988292873798862062009-09-18T16:02:57.792+03:002009-09-18T16:02:57.792+03:00Asante sana dada Koero kwa kutupa hizo,salam nying...Asante sana dada Koero kwa kutupa hizo,salam nyingine hata nilikuwa sizifahamu,mmmh ila hiyo ya kisukuma hebu fanya utafiti kidogo.PASSION4FASHION.TZhttps://www.blogger.com/profile/07390624580058921716noreply@blogger.com