tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post5379753070808330844..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: ETI NINI!? GIVE ME A BREAK!!!!!!!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-90869805837709865642011-02-14T05:14:58.755+03:002011-02-14T05:14:58.755+03:00Hii ndio huwa mitazamo ya udikteta. Juzi huko Misr...Hii ndio huwa mitazamo ya udikteta. Juzi huko Misri, Dikteta HM ndivyo alikuwa anawazuga waMisri walipomtaka aondoke kuwa bila yeye Misri ingeyumba!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-10410508181791997722011-02-13T21:19:02.451+03:002011-02-13T21:19:02.451+03:00Nyerere alisema bila CCM MAKINI nchi itayumba.Bado...Nyerere alisema bila CCM MAKINI nchi itayumba.Bado umakini alioutaka Nyerere upo?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-85168729169690151252011-02-13T17:18:42.771+03:002011-02-13T17:18:42.771+03:00Ni kweli kabisa Anym hapo juu;nchi itayumba,maana ...Ni kweli kabisa Anym hapo juu;nchi itayumba,maana kutakuwa hakuna rushwa, kilamtu atakuwa anatendewa haki, Maisha yatakuwa nafuu, watoto wa masikini watasoma na kuwa viongozi,umeme na lami hadi vijiji,maji safi kila nyumba,majambazi na vibaka watakuwa hakuna.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-86751786629335366262011-02-13T16:35:56.363+03:002011-02-13T16:35:56.363+03:00@ Kaka Bwaya, nimekuvulia kofia. ngoja nikutunukie...@ Kaka Bwaya, nimekuvulia kofia. ngoja nikutunukie nishani ya santuri ya Eminem, mkali wa rap katuni, akiimba kile kibao cha 'WE MADE YOU.<br />@ na zaidi kuna haja ya kufikiri sana chanzo cha kauli mbiu hii, ambayo aliitoa mzee wetu Julius Nyerere, hata hivyo hilo nalipinga kwani hakuna kuyumba kwa nchi bila watu kuiyumbisha. Lakini ukitafakari kisiasa Mama Mchungaji Koero itabidi ukubali tu ndiyo siasaMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-42527648984550472492011-02-12T22:27:41.776+03:002011-02-12T22:27:41.776+03:00Bila CCM nchi itayumba? Atakayeiyumbisha ni nani?Bila CCM nchi itayumba? Atakayeiyumbisha ni nani?Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-87810948934942592882011-02-12T22:08:22.540+03:002011-02-12T22:08:22.540+03:00Isikose kuyumba wewe nchi nzima kuanzia mtoto mpak...Isikose kuyumba wewe nchi nzima kuanzia mtoto mpaka mzee wanalewa usiku na mchana umewahi kuona wapi mlevi akaenda sawa bila kuyumba, nchi imejaa viwanda vya kila aina na kila siku bia mpya zinatolewa mtayumba tu kwa ulevi wa Bongo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-29738000164610154522011-02-12T17:00:26.301+03:002011-02-12T17:00:26.301+03:00Ilala napajua! Wenyeji wa huko ni wakereketwa waki...Ilala napajua! Wenyeji wa huko ni wakereketwa wakiwa CCM au vyama vya upinzani.<br /><br />Mimi nasema tu:"Juu! Juu! Juu zaidi na ILALA!"Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-27711729576182674662011-02-12T16:00:12.861+03:002011-02-12T16:00:12.861+03:00Jamani si mtazamo tu huo mmoja wapo wa mtu?Jamani si mtazamo tu huo mmoja wapo wa mtu?Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-72930000040320945222011-02-12T09:30:35.565+03:002011-02-12T09:30:35.565+03:00Nani kawadanganya!Nani kawadanganya!Anonymousnoreply@blogger.com