tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post5821670746386065297..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: MABALAA HUMUANDAMA MTOTO WA KIKE TANGU AKIWA TUMBONI………!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-80948779633753343952015-06-08T20:28:06.533+03:002015-06-08T20:28:06.533+03:00nice blog and article, thanks for sharingnice blog and article, thanks for sharingjaya sehathttp://jayasehat.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-52883349428085961722015-06-08T20:27:32.086+03:002015-06-08T20:27:32.086+03:00nice blog and article, thanks for sharingnice blog and article, thanks for sharingVimax Asli Canadahttp://vimaxkapsulcanada.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-76163906897695015442011-11-17T19:03:41.804+03:002011-11-17T19:03:41.804+03:00"Idadi ya watoto wa kike wanaokufa kutokana n..."Idadi ya watoto wa kike wanaokufa kutokana na kutelekezwa na kukataliwa na baba zao ni kubwa kuliko ya watoto wa kiume"

HUO NDIO UTAFITI WA NANI, MDOGO WANGU, NIAMBIE?Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-45915424957285877362011-10-06T07:36:27.370+03:002011-10-06T07:36:27.370+03:00Tupo, nimepita kidogo kwa shida, lakTupo, nimepita kidogo kwa shida, lakemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-15006329892504847702011-10-03T17:35:41.726+03:002011-10-03T17:35:41.726+03:00I love the mwanamkeI love the mwanamkekamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-90979811311600006682011-09-30T20:05:15.347+03:002011-09-30T20:05:15.347+03:00wanawake oyee.kaka swanawake oyee.kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-6782716199490590502011-09-30T13:28:00.766+03:002011-09-30T13:28:00.766+03:00Kweli ni tatizo KUBWA sana katika jamii yetu. Hata...Kweli ni tatizo KUBWA sana katika jamii yetu. Hata mie nimewahi kusikia kuna koo ambazo mke akizaa watoto wa kike tu basi familia inamshauri mwanamume aoe mke mwingine kwa vile huyu mwanamke si mwanamke wa maana. Na akizaa watoto wa kiume anathaminiwa sana. Wanasahau kwamba huyu anayetakiwa kuzaa pia ni mwanamke. Hii yote ni kutoelimika tu kwani wangejua kuna wanawake wengi sana wana akili na mawazo mazuri hata kupita wanaume wangelia sana. Na jingine ambalo mimi nimelisikia ni kwamba wanaogopa ukoo ukiwa na mabinti wengi basi ukoo unapotea kwa vile ataolewa na akina Mapunda. ...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-37021566145837881792011-09-30T13:23:19.701+03:002011-09-30T13:23:19.701+03:00Watoto wa kike ndio MAMA zetu lakini , na inasikit...Watoto wa kike ndio MAMA zetu lakini , na inasikitisha kuwa yasemekana hata waheshimuo mama huwa bado wanakwazika kwa kuwa na watoto wa kike kitu kifanyacho nchi kama CHINA sasa wanaishiwa WANAWAKE.!:-(

Ila tatizo hili lina undani wake na mtu ukiliingia kijuujuu unaweza hukumu watu bila kujua nini hasa kiko nyuma ya maamuzi na hitimisho za watu MAISHANI!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com