tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post5966120726865228497..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: UMRI WA UBARUBARU NA VIBWEKA VYAKE!!!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-1651083926235147002009-08-28T19:51:20.875+03:002009-08-28T19:51:20.875+03:00Mmmh! Koero mpenzi nimesoma hii habari kwa msisiti...Mmmh! Koero mpenzi nimesoma hii habari kwa msisitizo,ni nzuri na inamafunzo kwa vijana na wazazi pia,nimependa ulivyo muwazi,hicho kipindi kila kijana anakipitia kwa wasichana na wavulana pia.

Mara nyingi nimekuwa napitia hapa kibarazani kwako,kila habari unayoandika hapa huwa inanivutia sana,nazani ni mwandishi mzuri unafaa kuwa mwandishi wa vitabu.

Asante sana kwa kutupa darasa.PASSION4FASHION.TZhttps://www.blogger.com/profile/07390624580058921716noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-63854013498898630532009-08-28T11:54:54.984+03:002009-08-28T11:54:54.984+03:00Nipo fasta sana kwahiyo nimeshindwa kuingia katika...Nipo fasta sana kwahiyo nimeshindwa kuingia katika kibaraza changu lakini.......... Koero hii kitu ni tamu sana, tena sana nimefurahi kuwa unaweza kuongelea haya mambo maana watu tunadhani mifano lazima iwe ya wengine wakati nasi tunayo

BRAVO.
NB: mama yangu huwa anauliza swali moja anapotunda kuhusu ukimwi na mahusiano; MARA NGAPI UMESAHAU KUTUMIA KONDOMU?

HILO NDILO SWALI LA MAMA YANGU anapomwaga darasa lake lenye ucheshi

Markus Mpngala a.k.a mnyasa / parokoMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-2670279881727530882009-08-26T16:39:12.675+03:002009-08-26T16:39:12.675+03:00Nimerudi tena kuna kitu nilisahau:- Ni hivi napend...Nimerudi tena kuna kitu nilisahau:- Ni hivi napenda kumshukuru dada alipokustukia umekula vile vidonge. pia ndugu, mama Namsifu na nawashukuru pia waganga na waauguzi wate waliookoa maisha yako. kupenda ni kitu cha ajabu sana. Nimewashukuru hao waliokoa maisha yako kwa sababu leo hii sisi au mimi nisingekuona na hatungejuana. Na tungekosa haya mafunzo yote unayotoa hapa kibarazani kwako. NAJIVUNA SANA KUWA MA MDOGO KAMA WEWE. Ni hayo tu.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-49087635179270173652009-08-26T11:32:50.533+03:002009-08-26T11:32:50.533+03:00Koero Ahsante sana kwa hili kwa sababu umenipa maf...Koero Ahsante sana kwa hili kwa sababu umenipa mafunzo nini mama anatakiwa kumweleza binti yake na mimi ninao huo mzigo na nimekuwa nikiwaza kila siku. Pia nakusifu sana kwa ushujaa wako wa kujieleza jinsi ulivyofanya sio wengi wanaweza kufanya hivyo. Pia napenda kukupa pole kwa kifo cha huyo kijana. Nikisema hivi najua, nina maana penzi la utotoni la kwanza ni kitu ambacho mtu huwezi kusahau. Hata kama wewe umesema ulimsahau lakini naamini kamwe hutamsahau atakuwa moyoni mwako milele niamini mimi. Asante Koero, Pia nami umenikumbusha kitu mmmmmh maisha haya kazi kwelikweli. Na mwisho napenda kumpongeza mama Namsifu kwa malezi yake bora. Mpe hizi salamu.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-48491961289586939462009-08-26T08:13:31.679+03:002009-08-26T08:13:31.679+03:00Ni uzoefu mzuri, na nimejifunza kitu hapo, ahsante...Ni uzoefu mzuri, na nimejifunza kitu hapo, ahsante kwa darasa lako...Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-36933148238123676642009-08-26T01:06:11.732+03:002009-08-26T01:06:11.732+03:00Mmhhhhhh!!Mmhhhhhh!!Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com