tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post7004497702711005609..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: UFISADI: JE TANZANIA INAHITAJI YALIYOTOKEA GHANA 1979?Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-81179891206148247502009-08-05T20:44:27.392+03:002009-08-05T20:44:27.392+03:00Wala hatuhitaji yaho ya Ghana tuu. Pengine tuunani...Wala hatuhitaji yaho ya Ghana tuu. Pengine tuunanishe na mengine mengi kutoa ya kwetu. Wao walikuwa na matatizo lakini sisi tumevuka hapo. Hatuna matatizo kwenye nchi yetu, bali nchi yetu ni matatsasa hivi.
Nasubiri hivyo vifukavyo moshi vitakapotoa kishindo tuone atakayebabuliwa uso ni nani?
Na tunakoelekea ndio itakuwa NJIA PEKEE ya kujikomboa. Inasikitisha kusema haya lakini nadhani tunaweza kukumbuka aliyoimba Bob Marley kwenye wimbo wake BURNING AND LOOTING
Ndiko tusongako sasa Dadangu na wapendwa wengineMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-62148196644213348042009-08-02T06:44:31.400+03:002009-08-02T06:44:31.400+03:00Sio siri ufisadi umetuumiza na utazidi kutuumiza.
...Sio siri ufisadi umetuumiza na utazidi kutuumiza.

Mbaya zaidi kwa kadiri mda unavyokwenda ufisadi unazidi kushamiri mbali na jitihada ndogo za kukabiliana nao.

Kesi za wanaotuhumiwa na ufisadi zaendeshwa kifisadi fisadi, hatma ya kesi zenyewe haieleweki.

Ghana kulikuwa na pengine hadi leo kuna wazalendo, wale wanaoipenda nchi yao na watu wao.

Hapa kwetu Wazalendo kama hawa wa Ghana huwa wanafichwa pasipojulikana,wanatoweka kama upepo.Wanaharakati wengine wazalendo husoma mazingira,huogopeshwa na hufyata mkia.

Labda niulize swali,

inaaminika kuwa serikali yetu ipo kumi bora duniani kwa kuwa na Mashushushu, kwa nini, kipi chatafutwa, hofu ya nini? Ni kuwalinda wananchi?Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-84149283646215201272009-07-31T15:39:00.391+03:002009-07-31T15:39:00.391+03:00Da Koero ahsante kwa kudesa historia yenye kuvutia...Da Koero ahsante kwa kudesa historia yenye kuvutia.

Mi naziunga mkono jitihada za wanaharakati wa Ghana. Ufisadi si jambo la kuchekewa hata kidogo. Ufisadi ni uuaji mbaya kuliko hata ule uliofanywa na mafashisti.

Kwanini nasema ufisadi ni uuaji mbaya? Ufisadi unapopelekea kuwafanya wananchi wateseke, kwa kupata huduma za jamii katika kiwango cha chini, nini tunategemea? Mama mjamzito anapofariki kwa kukosa huduma wakati kuna pesa zingeweza kuboresha huduma hiyo, zinahodhiwa na wachache, tafsiri yake ni nini?

Wananchi wanapoathirika kwa maji yenye sumu kwa sababu ya ufisadi wa kundi fulani la wenye nguvu, lugha ipi ni sahihi?

Ipo haja. Nachelea kusema hivyo. Haya mambo yanaumiza sana.

Kama Waghana wameweza kujaribu kujenga misingi mizuri ya uadilifu, tunashindwa nini?Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.com