tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post753263402151694923..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: SUBIRA, UVUMILIVU NA UBUNIFU VIKALIPA: SEHEMU YA PILIKoero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-18849000828598775582009-05-07T20:46:00.000+03:002009-05-07T20:46:00.000+03:00Hiki ni kioo. Na kazi yake ni kukupa taswira ya we...Hiki ni kioo. Na kazi yake ni kukupa taswira ya wewe kama wewe na pengine mwingine alivyo. Lakini hakikupi taswira a nmwingine ukijiangalia wewe. Maana yake ni kuwa katika nyakatai na maono tofauti, kioo kitakupa aswira halisi. Na kila taswira itatoka kama isimamavyo mbele ya kioo. Mwenye kukitazama na ajione.<br /> Asante saaana DadanguMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-30073556899299732662009-05-07T20:01:00.000+03:002009-05-07T20:01:00.000+03:00Ama kweli mvumilivu hula mbivu. Nampa hongera zote...Ama kweli mvumilivu hula mbivu. Nampa hongera zote kwa uvumilivu wake. na pia bila kukata tamaa kweli ukiamua utaveza tu. Hakuna lisiwezekana duniani hapa. Asante Koero kwa kiasa hiki nimejifunza kituYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com