tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post7612103455539017845..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: MBOMBO JILIPO!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-39331965591433065702010-12-24T15:33:41.562+03:002010-12-24T15:33:41.562+03:00@Kibunango nakuunga mkono kwa hilo la mada hii. ni...@Kibunango nakuunga mkono kwa hilo la mada hii. ni bomba sana.

jamani markus wee unataka nini? au utakuwa kichaa? hujijui markus wewe? hujitambui au nini?
Lol... aise labda siku nikipata fursa ya kuzungumza na Julian Assange mwenyewe, ndipo nisadiki.

A.
aaaaaHH John Young alianzisha mtandao wa ww.wcryptone.com mnamo mwaka 1996. akiwa anatoboa kinachosemwa ati 'nyaraka za siri'. baadaye John Young akajiunga na mtandao wa WikiLeaks ulioanzishwa mwaka 2005. lakini baadaye John Young aliondoa akilalamika kuwa shughuli zilikuwa zikifanywa na maofisa usalama badala ya WikiLeaks wenyewe.

B.
Mwendesha mashtaka Marianne Ny, wa pale Uswidi anasema wanawake wanaomtuhumu Julian Assange kubaka walikuwa maofisa wanaoshughulikia mtandao wa WikiLeaks kipindi cha nyuma. Mwanamke mmoja alidai walikuwa kikazi, lakini Julian Assange akaanzisha mahusiano ya kimapenzi, halafu siku ya tukio hadi kondomu ilipasuka(source; THE ARUSHA TIME, Desemba 11-17, 2010).

KWA UJINGA WANGU NA HITIMISHO LA MAWAZO MBILIKIMO.
Julian Assange bado hujanishawishi mtu wangu. Kwa taarifa nyingi zinazoripotiwa ati chanzo cha habari ni The Guardian la Uingereza, na waandishi wetu na wachambuzi huku bongo wanasea gazeti la The Guardian lina vyanzo vingi. halafu kuna mambo wanapambana ni siri. duh! wanisamehe siwezi kuvugwa akili kiasi hicho. na kweli wanavurugwa watu wepesi.
Julian Assange, anadaiwa kuvujishi siri. mimi najiuliza siri hizo ni zipi?

HAYA.
tunaambiwa jamaa wa takkuru sijui akamlima aya bosi wake ati hataki kuwakamata mafisadi papa.
jamani tayari Julian Assange anavishwa kanzu eti MKOMBOZI.

kwa akili zao kabisa watanzania wanakaa viambazani wakidai Julian Assange anavujisha siri za kibalozi baina ya marekani na nchi zingine. naomba mnisamehe siwezi kuingia katika hekalu hili.

kule afghanistan tunaambiwa mengiiiiii nacheka tu. kifupi siyo Julian Assange wala WikiLeaks hawawezi kuniteka, bado niko mkavu kabisa.

Nashukuru mama mchungaji umeanza kwa kusema KAZI IPO.
mimi nasema Divide and ruleMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-1299399023154034172010-12-24T15:33:33.975+03:002010-12-24T15:33:33.975+03:00@Kibunango nakuunga mkono kwa hilo la mada hii. ni...@Kibunango nakuunga mkono kwa hilo la mada hii. ni bomba sana.

jamani markus wee unataka nini? au utakuwa kichaa? hujijui markus wewe? hujitambui au nini?
Lol... aise labda siku nikipata fursa ya kuzungumza na Julian Assange mwenyewe, ndipo nisadiki.

A.
aaaaaHH John Young alianzisha mtandao wa ww.wcryptone.com mnamo mwaka 1996. akiwa anatoboa kinachosemwa ati 'nyaraka za siri'. baadaye John Young akajiunga na mtandao wa WikiLeaks ulioanzishwa mwaka 2005. lakini baadaye John Young aliondoa akilalamika kuwa shughuli zilikuwa zikifanywa na maofisa usalama badala ya WikiLeaks wenyewe.

B.
Mwendesha mashtaka Marianne Ny, wa pale Uswidi anasema wanawake wanaomtuhumu Julian Assange kubaka walikuwa maofisa wanaoshughulikia mtandao wa WikiLeaks kipindi cha nyuma. Mwanamke mmoja alidai walikuwa kikazi, lakini Julian Assange akaanzisha mahusiano ya kimapenzi, halafu siku ya tukio hadi kondomu ilipasuka(source; THE ARUSHA TIME, Desemba 11-17, 2010).

KWA UJINGA WANGU NA HITIMISHO LA MAWAZO MBILIKIMO.
Julian Assange bado hujanishawishi mtu wangu. Kwa taarifa nyingi zinazoripotiwa ati chanzo cha habari ni The Guardian la Uingereza, na waandishi wetu na wachambuzi huku bongo wanasea gazeti la The Guardian lina vyanzo vingi. halafu kuna mambo wanapambana ni siri. duh! wanisamehe siwezi kuvugwa akili kiasi hicho. na kweli wanavurugwa watu wepesi.
Julian Assange, anadaiwa kuvujishi siri. mimi najiuliza siri hizo ni zipi?

HAYA.
tunaambiwa jamaa wa takkuru sijui akamlima aya bosi wake ati hataki kuwakamata mafisadi papa.
jamani tayari Julian Assange anavishwa kanzu eti MKOMBOZI.

kwa akili zao kabisa watanzania wanakaa viambazani wakidai Julian Assange anavujisha siri za kibalozi baina ya marekani na nchi zingine. naomba mnisamehe siwezi kuingia katika hekalu hili.

kule afghanistan tunaambiwa mengiiiiii nacheka tu. kifupi siyo Julian Assange wala WikiLeaks hawawezi kuniteka, bado niko mkavu kabisa.

Nashukuru mama mchungaji umeanza kwa kusema KAZI IPO.
mimi nasema Divide and ruleMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-49359251041942080032010-12-24T13:55:34.636+03:002010-12-24T13:55:34.636+03:00Nimependa jina la madaNimependa jina la madaKibunangohttps://www.blogger.com/profile/18186613896550187098noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-68928794385468852642010-12-24T11:57:06.115+03:002010-12-24T11:57:06.115+03:00Mmmh!Mmmh!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-33413701001738925752010-12-24T10:48:34.556+03:002010-12-24T10:48:34.556+03:00Ni sie watanzania? Hata kama habari hizi zingefuja...Ni sie watanzania? Hata kama habari hizi zingefuja kabla ya uchaguzi bado sisiemu ingeshinda tu! Je umeshahau kuwa mwendo wetu ni wa kanga za kijani na baiskeli kwa mjumbe wa nyumba kumi?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07722344478243372930noreply@blogger.com