tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post8501143219344236832..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: SERA YETU YA ELIMU HAPA NCHINI MBONA IMEPOGOKA HIVI!Koero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-69166266774151286642009-09-18T10:33:58.389+03:002009-09-18T10:33:58.389+03:00Hili lina ukweli, elimu yetu imepogoga mno...Hili lina ukweli, elimu yetu imepogoga mno...Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-28379998185960920372009-09-16T17:46:23.613+03:002009-09-16T17:46:23.613+03:00SOMO TAMU SANA HILI NADHANI MJADALA UMEKOLSOMO TAMU SANA HILI NADHANI MJADALA UMEKOLMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-83326806081798858232009-09-07T16:14:02.204+03:002009-09-07T16:14:02.204+03:00Nashukuru kupata nafasi ya kuchangia mada hii juu ...Nashukuru kupata nafasi ya kuchangia mada hii juu ya elimu ya Tanzania.
Miaka ya nyuma nilienda mkoani Morogoro, wilaya Kilombero kwa ajili ya kufuatilia habari.
Kwa bahati mbaya au nzuri jambo niliyokuwa ninaifuatilia ilikuwa ni ya kupata picha ya matokeo ya sera zinazowahusu vijana. Yaani je ni kweli sera za serikali zinawafaidisha vijana?
Bila kuchelewesha uhondo, vituko nilivyokuta huko vilinisikitisha.
eti, kwanza kupitia wizara husika, kuna mtaji wa fedha kiwango cha juu shilingi 400,000 ambao kikundi cha vijana wanaweza kujipatia ili kujinyanyua kiuchumi.
Swali ya kwanza pesa hizo huchukua muda gani kupatikana - miezi sita.
Je kikundi kinatakiwa kiwa na watu wangapi? - angalau 20
Je? laki nne itasaidia nini? Mgao wa chapu chapu kila mwanachama ajinunulie vifaa anavyo hitaji - hii ni pamoja na starehe ajaribu bahati yake. Je umeona hii.

Twende kwenye kituko kingine.
Eti kwa sababu tu wamissionari hapo zamani walijitolea kuwa honga wadau wa eneo kuhuduria kanisa walitoa nguo na misaada mingine midogo midogo hadi watu wakaamua kuacha kufanya kazi. matokeo yake misaada ilivyo katika - kama kawaida yake - wadau wakakwama hawajui wafanye nini. Basi, kwa kuwa mashamba bado yapo basi wakarudi kulima, lakini si kwa nguvu zote kwa sababu kumbe katika kipindi hicho hicho walipokuwa wana subira vya kupewa "investors" wakawa wametinga mahali hapo na kujipendelea sehemu za maana zaidi.
OK. ukuchelewa utakuta kitu si chako, matokeo ya hayo ikwa ni kwamba wazee wengine wakaamua kuwa ozesha mabinti zao kwa mwanamume - vijifulana - aliyeweza kuleta pesa za kutosha eti akamjaribu binti yake halafu ...
Je, kama mtoto ataolewa kwa riadha ya mzazi kama sheria ya nchi inavyo halalisha - shule ataenda za ngapi - na kumbe mtoto huyo huyo akirudisha baada ya pesa za bwana kuisha anasubiri bwege mwingine ajigonge na kutoa hela zake ili ajaribu naye bahati yake.
sina mengi lakini mambo ndio hayo.Come 'n Seehttps://www.blogger.com/profile/00525348148404428905noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-51706410775183560492009-09-01T09:19:33.554+03:002009-09-01T09:19:33.554+03:00Kaka Godwin naomba kutofautiana na wewe juu ya swa...Kaka Godwin naomba kutofautiana na wewe juu ya swala la VETA,
Naona kama hukuielewa mada hii, Alichozungmza Dada Koero ni sahihi kabisa, Serikali inastahili kulaumiwa. Swala hapa sio kuanzishwa kwa Veta, swala hapa ni je imewawezeshaje vijana wetu kumudu kujiajiri?
No matter vyuo vingapi vimeanzishwa na Veta, hiyo haifuti lawama hata kidogo.
Kwani kuna haja gani ya kuwa na vyuo lukuki huku kukiwa na vijana wengi mitaani wakiishia kuwa wapiga debe na ukibaka, ambapo waki graduate wanakuwa majambazi na kudhulumu roho za watu wasio na hatia?
Mimi binafsi ni zao la Veta, lakini utashangaa nikikuambia kuwa kazi ninayoifanya sio ile niliyosomea pale Veta.
Hivi unajua kuwa unaweza kuomba kusomea ujuzi fulani pale Veta halafu ukajikuta unapangiwa kusomea kitu tofauti na ndoto zako.
Nakumbuka katika darasa letu pale Veta tulikuwa tunajiita lost boys, kwa nini?
Ni kwa sababu tulijikuta wote tukiwa pale nje ya matakwa yetu, wapo alioacha kabisa kusoma na akina sisi hatukuwa na jinsi tulisoma bora liende. Bila shaka hutashangaa nikikuambia kuwa katika darasa letu hakuna hata mmoja anayefanya kazi ile tuliosomea, tulipoteza miaka yetu miwili pale Veta bure kabisa.

Kule Usa Riva, Arusha katika eneo la Leguruki kuna chuo kilianzishwa na Wajerumani, si ndio waliokuwa wakitutawala sisi Watanganyika?

Fani ya kwanza kufundishwa pale ni ile ya ufundi Seremala, na wanafunzi wa kwanza kumaliza walipewa nyenzo na mtaji kwa mkopo na kuanzishiwa kiwanda kilichoitwa UMALE, yaani Umoja wa Mafundi Leguruki.
Wale vijana ni mafundi hodari kweli na samani wanazochonga sinauzwa mpaka Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya, huko ndio kuwezeshwa, na sio kusomeshwa Veta halafu unatelekezwa bila mtaji wala nyenzo.
Kwa nini Veta isiige mfano wa chuo cha Leguruki?
Kwani inahitaji gharama kubwa kiasi gain? Tena sio kuwapa bure, kunakuwa na mpango maalum wa kuwapa nyenzo kwa mikopo na kuwasaidia kutengeneza management ili waweze kujiendesha kwa ufanisi, si ndio kuwezeshwa huko?
Na baadae serikali haitahitaji tena kutenga mtaji mkubwa kwani ule wa kwanza utakuwa unazunguka yaani hawa wakirudisha mkopo wanapewa wengine.

Haiyumkiniki kuwa hata hawa wezi wanaovunja magodown na kuiba mali zilizomo ndani ni zao la Veta, wana ujuzi lakini hawajui pa kuanzia.

Alichozungumza Mzee mkundi, Profesor Matondo na dada Yasinta ni sahihi kabisa, wakoloni hawakaumtelekeza mwanafunzi hata mmoja walikuwa wanaangalia kila mwanafunzi kama anacho kipaji gani, na kuelekeza nguvu huko ili kumuwezesha.

Tunahitaji mabadiliko makubwa katika swala zima la elimu, kwani sera yetu ya elimu imepogoka mno……Ramsonhttps://www.blogger.com/profile/00148250682968870464noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-24814259655345600562009-09-01T04:28:05.304+03:002009-09-01T04:28:05.304+03:00Mimi sitaki kukubaliana na wewe kwa asilimia mia m...Mimi sitaki kukubaliana na wewe kwa asilimia mia moja kuwa serikali imewasahau kabisa wale ambao hawajafanya vizuri katika mitihani yao ya mwisho wa darasa la saba. Serikali ililitambua hili ndio sababu ilianzisha VETA. takwimu zangu zinaonyesha vyuo vya VETA vimeongezeka na vinaendela kuongezeka toka tupate uhuru. mwisho kabisa kutembela tovuti ya VETA walikuwa na vyuo 21 na walikuwa wanatoa elimu kwenye fani tofauti tofauti zaidi ya 40. UKWELI KABISA ELIMU YA VETA INAMUANDAA ZAIDI MUHITIMU WAKE KUJIAJIRI. na wengi wa wahitimu wa VETA wamejiajiri wenyewe. TATIZO LIPO KWENYE KUWEZESHA NA SERIKALI KUACHIA BIDHAA FEKI TOKA ASIA HUSUSANI CHINA KUJA KWENYE SOKO LETU BILA KUANGALIA ATHARI KWA WANANCHI WAKE. ukweli vijana waliomaliza na kufuzu hivi vyuo ni mafundi hodari sana. ila ushindani wa kibiashra kwa bidhaa feki zinazotoka asia zinawakwamisha sana. PIA WATANZANIA TUNAKASUMBUA YA KUBABAIKIA BIDHAA ZA JE HATA KAMA HAZINA UBORA KAMA TUNAZOZALISHA NYUMBANI. WATANZANIA hatuoni fahari kununua na kumiliki bidhaa zilizozalishwa na watanzania wenzetu.
NIRUDI SASA KWENYE FORMAL EDUCATION. Ninakubaliana na wewe kwa asiimia mia moja LUGHA YA KUFUNDISHIA NI TATIZO. kama tumeamua kuingia kwenye ushindani wa kibiashara na huu UBEPARI, hatuna budi kukubali kuwa Kingereza kitumike kwa masomo yote toka elimu ya msingi. NI VIGUMU KWA MWANAFUNZI KUELEWA MASOMO SEKONDARI WAKATI LUGHA NI TATIZO. kwa mfano mimi nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa nasoma vitabu vingi sana vya kiada na ziada. na nilielewa sana masomo kwa sababu yalifundishwa kwa lugha ninayoijua. Kufika sekondari nikapunguza kusoma vitabu vya ziada. kwa sababu ilibidi nitumie muda mwingi kukariri ili niweze kufaulu mitihani. HILI NI TATIZO... Serikali ikaanzisha shule za watoto wenye vipaji. NILIBAHATIKA KUSOMA KWENYE SHULE HIZO. Ila ki ukweli serikali ilikosea kutoa jina. sikuona kipaji chochote zaidi ya wanafunzi kusoma masaa kibao. WATU WENYE VIPAJI WAMEACHWA KISA HAWAJAWEZA KUKARIRI VIZURI NA KUPATA ALAMA ZA A KWENYE MITIHANI YAO YA MWISHO. Kweli kabisa kufundishwa na watu waliofeli ni tatizo pia. Tanzania mtu akifeli sehemu ya kukimbilia ni ualimu. KAZI KWELI KWELI. Nakumbuka shule ya msingi nilikosana na mwalimu mmoja kwa kumkatalia kuwa TANZANIA HAIJAWAHI KUTAWALIWA NA MKOLONI YEYOTE. nakumbuka swali lilikuwa andika KWELI AU SI KWELI. Jibu la mwalimu lilikuwa kweli TZ ilitawaliwa na wajerumani na Waingereza. Kwa kumbishia mwalimu nilikuwa bakora 8. SINTASAHAU HILI. Inawezekana vipi nchi iliyoundwa 1964 iwe imetaliwa na kupata uhuru 1961. Pamoja na kumuelewesha labda alikuwa na maana ya TANGANYIKA au ZANZIBARGodwin Habib Meghjihttps://www.blogger.com/profile/09439848817559875872noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-73554898952605937692009-09-01T00:41:15.400+03:002009-09-01T00:41:15.400+03:00Kwanza nasema nashukuru umeweka mjadala huu hapa. ...Kwanza nasema nashukuru umeweka mjadala huu hapa. Ni kweli elimu ya zamani ilikuwa ya kuelimisha zaidi. Yaani wazazi wetu walikuwa wanajali elimu hata kama wengi wao waliishia darasa la nane. Walisoma kwa bidii zote na kuwa makini sana Lakini Taifa letu la leo hatuna ile hamu ya kusoma kwa nia fulani haya ndio matokeo ya wapiga debe kuwa wengi. Kuna hatari Taifa lijalo inawezekana ikawa mbaya sana kwani watoto huiga maisha ya wazazi/jamii. Pia tatizo ni kwamba walimu wa sasa hawana elimu ya kutosha mwl. mwenyewe hajui kusema jina lake kwa kiingireza halafu anapewa kufundisha somo la kiingireza kweli kitakuwa nini hapa. Pia jambo muhimu au mtazamo wangu mimi ningependa masomo yote yafundishwa kwa kiswahili kuanzia darasa la kwanza mpaka sec. au iwe kinyume kiingireza. Kwani huwezi kuanza na kiswahili na ghfla unaanza sec. masomo yote ni kiingereza kasoro kiswahili kwali unafikiri kuna mwanfunzi ataambua kitu hapo itakuwa linaingia sikio la kulia na kutoka sikio la kushoto.

Kwa sababu hilo jambo sio Afrika tu nimeona hata hapa akija mkuja akipata kazi wanamchukia na kusema umekuja na kuchukua kazi zetu. Lakini ni kwamba wao wenyewe hawataki kazi za kufagia au kumwagilia maua wanataka kazi za kilipa. We mwingine unachukua tu ili kuweza kuyamudu maisha.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com