tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post8724282047834489731..comments2023-11-02T14:36:01.744+03:00Comments on Vukani: UCHAWI DHANA INAYOSUMBUA MAISHA YA KAWAIDA YA BINADAMUKoero Mkundihttp://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-17693990634428346982010-05-07T08:26:04.436+03:002010-05-07T08:26:04.436+03:00Usiye na jina wa 6 May hapo juu, naomba uwasiliane...Usiye na jina wa 6 May hapo juu, naomba uwasiliane na mimi kwa email hii:

kaluse2008@gmail.comAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-61927565940776290722010-05-06T22:40:24.064+03:002010-05-06T22:40:24.064+03:00Huwezi amini mimi niliwahi kuitwa mchawi tena nili...Huwezi amini mimi niliwahi kuitwa mchawi tena nilikuwa msichana mdogo ambaye bado nasoma shule, ni kisa kirefu nikikisimulia chote nitakuwa nimeiba nafasi yote kwenye blogu. Lakini hii ilinifanya niamini kuwa mtu yeyote aweza kuitwa mchawi hata kama hana uchawi, hajui wala hafuatilii. Kitu kilichonifanya nionekane mchawi wakati huo ni kufaulu kwangu shule, kufanya vizuri na kutodhurika na nguvu hasi zilizokuwa zinaelekezwa kwangu. Kwa hiyo mimi nilionekana ni mchawi mkubwa kuwashinda wao maana kila walipokuwa wanakwenda kwa waganga kuroga na kuomba mabaya yanikute, mimi kwangu yalikuwa yanatokea mema au tofauti na walivyokuwa wakiomba wao. Ni hadithi ndefu lakini mpaka leo hii bado wapo wanaoamini kuwa nina nguvu za ziada ama za kichawi au sijui wenyewe wanavyoona.

Niko njiani kuandika kitabu kuhusu masaibu hayo yaweza kuwasaidia wengine wasikate tamaa maishani na kujiamini.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-32197298564571001112010-05-03T12:08:33.390+03:002010-05-03T12:08:33.390+03:00ni nguvu tuni nguvu tukamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-71527564978294739072010-05-03T08:32:52.041+03:002010-05-03T08:32:52.041+03:00Kuna msemo kuwa 'kila mtu ni kichaa, kinachoto...Kuna msemo kuwa 'kila mtu ni kichaa, kinachotofautisha ni kiwango cha ukichaa alokuwa nao mtu'!

Na kwa mantiki hii, KILA MTU hata wewe uloandika hapa na wewe unayesoma hapo ni mchawi.

Kinachogomba ni kiwango cha uchawi wako ukikitofautisha na wenzako. Na pia kiwango hicho chaweza kuwa HASI ama Chanya.

Hichokilichoelezewa katika mada ni HASI lakini uchawi ni uchawi tu, uwe hasi ama uwe chanya.

Hasi-wenyewe mnaipeleka kwenye Ushetwani
Chanya-mnaipeleka kwenye Umungu ama utakatifu :-(o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-78221887117091523102010-05-02T15:20:14.241+03:002010-05-02T15:20:14.241+03:00Nimeisona hii mada vizuri, nachoweza kusema, uchaw...Nimeisona hii mada vizuri, nachoweza kusema, uchawi ni matokea ya Uvivu, wivu, tamaa, Ubinafsi, kukosa ubinadmu na roho ya dhuluma. Masuala yoyote ya kichawi iwe ni kwa ajili ya kuleta maendeleo au mafanikio mahali fulani ni lazima nyuma yake pataambatana na dhuluma fulani kwa mwanadamu mwingine. Sayansi hizi za kisiri zinachangia kwa kiasi kikubwa sana katika kugombanisha na kudhulu wanadamu.

Nimekuwepo kule Rujewa, Mbarali, Mbeya Kata anakotoka Blogger Majid Mjengwa anayetoka Kijiji cha Nyeregete, kwa takribani mwaka mmoja hivi, Kata yenye watu Elfu 30, kati ya Februari 2009 na August 2009 walikufa watu takriban 9 katika mazingira ya kutatanisha, wengi wao wakikutwa katika mfereji unaopeleka maji mashamba ya Mpunga. Kibaya zaidi wananchi wa eneo hilo wanaona ni jambo la kawaida na wanaonekana kulidhika nalo kwani hakuna juhudi za kueleweka kukabili hali hiyo.

Anayeingia katika sayansi ya kinyutroni kutengeneza mabomu hawezi kutakiwa kuuwa ndugu yake ili apate elimu hiyo, wala hawezi kutakiwa kuchinja kuku mweupe, wala hawezi kuambiwa akaoge njia panda. Wala hawezi kuambiwa akamkae motto wa miaka mitatu, wala hawezi kuambiwa apelike nyeti za Kichaa, wala hawezi kuambia apelike mkono wa albino. Ni dhahiri atatakiwa kulipa ada ya mamilioni ya shilingi ama dola kupata elimu hiyo. Mtu huyu anafichwa na kulindwa kwa ajili ya ushindani tu wa kibiashara wa kidunia na hofu ya teknolojia kuangukia mikononi mwa watu wasio na mjadala kama kina Osama bin Laden.Jacob Malihojahttps://www.blogger.com/profile/09736640059216467240noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7953064069616248417.post-82726078270072346342010-05-02T11:42:34.416+03:002010-05-02T11:42:34.416+03:00Nitaisoma vizuri Makala hii baadae niona naweza ku...Nitaisoma vizuri Makala hii baadae niona naweza kuandika nini, lakini kwakweli Imani hizi za Uchawi ndio chanzo kikuu cha mabalaa mengi hapa Duniani hususani nchini, ndio Chanzo cha Wenye Ulemavu wa Ngozi kukatiliwa, na matukio mengine ya kutatanisha ya mauaji. kMfano eneo la mbagala mwishoni mwa mwaka jana kichaa mmoja maarufu eneo la zakhem alikutwa amekufa hana nyeti na ulimi.. sasa hebu angalia.. unaweza alikufa mchwa wamechukua nyeti na ulimi?Jacob Malihojahttps://www.blogger.com/profile/09736640059216467240noreply@blogger.com