Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Friday, April 24, 2009
JE HUYU NI NANI?
Alikwenda kijijini kumtembelea bibi yake, na hapa alikuwa akielekea Kanisani.
duh! huyu ni kiboko, kajifunika blanketi. Inaonekana akiwa kitandani kajikunyata kwa baridi kali, bibi yake aliwaamsha wajukuu wake kwa kusema 'Vukani' Ni yeye huyu huyu!
Hahahahahaaaaaa. Ni yeye. Naniiii!!!!!!!!!
ReplyDelete:-) Huyu ni kama Koero kwa vile anatoka dar basi anajisikia baridi na huo mblanketi wake hahahaaaaaaaa
ReplyDeleteHuyu ni Koero bibi kamwambia amsaidie kumtafuta jogoo mkubwa wa kuchinja.
ReplyDeleteHahaahaha!!
Mpaka leo umesimama tu Koero katika njia ya kuelekea kanisani?teh!angalia miguu itaingia tumboni shauri yako!
ReplyDeletehapo alikuwa likizo, lakini bibi jumapili bibi kamuamsha asubuhi asubuhi pamoja na kabaridi aende kanisani
ReplyDeleteduh!
ReplyDeletehuyu ni kiboko, kajifunika blanketi. Inaonekana akiwa kitandani kajikunyata kwa baridi kali, bibi yake aliwaamsha wajukuu wake kwa kusema 'Vukani'
Ni yeye huyu huyu!