Vukani

Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.

Friday, April 12, 2013

KUMBE WAMAKONDE WANAOGOPA KUFA...!

›
Inaelezwa kwamba Maziko Wamakonde huwa na maombi tofauti na yale yanayofuatwa na madhehebu mengine. Badala ya Sheikh au Kasisi kusoma ...
7 comments:

GAZETI LA VUKANI ....!!!!!

›
Aisee, hata sikujua kwamba kuna gazeti linaitwa VUKANI
1 comment:
Thursday, April 11, 2013

HILI NENO, "MWANAUME NI KICHWA CHA NYUMBA," HUWAPA KIBRI SANA HAWA VIUMBE

›
Kuna jambo moja ambalo hufundishwa na viongozi wa dini mbalimbali, ambalo pia waumini hulihubiri vizuri kila mahali wapatapo nafasi ...
9 comments:
Friday, March 9, 2012

MIKOBA YA MANUNUZI INAPOKUWA NA VIJIDUDU GEMS

›
Utafiti uliofanywa na profesa Charles Gerba wa chuo kikuu cha Arizona nchini Marekani umebaini kwamba wengi wetu hususan sie kina mama hatu...
6 comments:
Saturday, March 3, 2012

SASA MIMI NI MKE WA MTU!

›
Asalaamu Aleikhum mabibi na mabwana – hii ni kwa ndugu zangu Waislamu Shaloom – Hii ni kwa ndugu zangu Wakristo Ni matumaini yangu nyote ham...
16 comments:
Wednesday, November 30, 2011

WANAPOJIREMBA KUPITA KIASI INA MAANA GANI

›
Siku hizi, kuna ugumu wakati mwingine, kujua kama mtu ni mwanamke au ni mwanaume. Vijana na hata watu wazima wengi wanaume hujipamba sana k...
9 comments:
Friday, September 30, 2011

MABALAA HUMUANDAMA MTOTO WA KIKE TANGU AKIWA TUMBONI………!

›
Tatizo hili hufahamika kama Female Infanticide, yaani mauaji ya kukusudia yanayofanywa kwa mtoto wa kike. Achilia mbali kile kitendo cha m...
8 comments:
Monday, September 5, 2011

MCHUMBA ANGU YUKO FINLAND!

›
Naelekea Uzeeni sasa! Ni miaka 16 sasa tangu nifahamiane naye, alikuwa ndio kwanza amemaliza kozi yake ya uhasibu na kuajiria katik...
20 comments:
Friday, September 2, 2011

WANAUME BWANA, HIVI MKIONA UCHI WA MWANAMKE MNAPATA NINI?

›
Wanaume wengine hata wakiona hivi huchanganyikiwa! Kuna wakati huko Berlin, nchini Ujerumani, kulikuwa na unesho ambapo wanawake wa...
22 comments:
Monday, August 29, 2011

HATIMAYE MTUHUMIWA AJISALIMISHA!!!!

›
Haya jamani kilio cheni nimekisikia, jana ndio nimefika Dar nikitokea Tanga, Nilikuwa Tanga, kwa dada yangu ambaye alifanikiwa kuongeza...
13 comments:
Friday, June 24, 2011

MUNGU AKITAKA KUKUANGAMIZA WAKATI MWINGINE ANAKUNYIMA NURU!

›
Nilikuwa nawaza tu!
6 comments:
Monday, June 20, 2011

NIMEULIZWA TENA HILI SWALI: KWA NINI NILIAMUA KUITA BLOG YANGU VUKANI?

›
Vukani Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia ...
10 comments:
Monday, June 6, 2011

AKATUPA KILE KIATU!

›
Akakitupa hapa! Alikuwa yuko Bar moja maarufu iliyoko maeneo ya Kinondoni hapa jijini Dar na hawara yake ambaye ndio nyumba yake ndogo pamoj...
11 comments:
Wednesday, June 1, 2011

AKANIAMBIA NIKIZEEKA NA KUWA BIBI KIZEE NISIJE NIKAMUOMBA UGORO!

›
Ni jana majira ya jioni nikikatiza mitaa ya Msasani, nikakutana na mateja wako wachafu wamekaa kijiweni wakipiga soga. Mara akaijitokeza tej...
6 comments:
Wednesday, May 25, 2011

NI MIAKA 26 SASA TANGU AZALIWE, LAKINI MIKASA, VISA NA VIJIMAMBO, VIMEENDELEA KUMTIA NGUVU.

›
Ilikuwa ni siku ya Jumamosi ya Sabato ya May 25, 1985, majira ya saa nne usiku ndipo binti huyu alipozaliwa. Alizaliwa akiwa na afya njema ...
23 comments:
›
Home
View web version

Kuhusu Mimi

My photo
Koero Mkundi
Dar Es Salaam, Tanzania, Tanzania
Mimi nimezaliwa na mama na baba, na wote ni watanzania. wazazi wangu ni wakulima na ni wafanyakazi waliojiajiri, ninao wadogo zangu, dada zangu na kaka zangu kadhaa. wote tunapendana. Mnaweza kuwasiliana na mimi kwa kupitia Barua Pepe, anuani yangu ni hii: koeromkundi@gmail.com au koeromkundi@ymail.com
View my complete profile
Powered by Blogger.