Wengi watanisoma humo
Rafiki yangu Markus Mpangala aliwahi kunishauri kuwa niwe muandishi wa habari, nikakataa wazo lake, lakini siku za hivi karibuni nimevutiwa sana na Gazeti la Kwanza Jamii na nimeona nitume Vijimakala vyangu humo, ili sauti yangu ya nyikani iwafikie wengi..........
Umefanya jambo la maana sana nafurahi kwa niaba yako kwani wewe ni mwandishi mmoja mzuri sana ambaye nakuamini. Ubarikiwe, unapendwa.
ReplyDeleteUnafanya vema na naamini utafanya vema na huko pia.
ReplyDeleteUnapendwa na UNAOMBEWA KILA LILILO JEMA
Uamuzi mzuri. Makala zako zina uasili na upekee na naamini kwamba zitatia chachu katika gazeti hilo.
ReplyDeleteTazama hapa kuona hali halisi ya usomwaji wa makala za kiuchambuzi katika magazeti yetu: http://matondo.blogspot.com/2009/11/uzembe-wa-watu-kusoma-makala-za.html
Nakutakia kila la heri dada Koero!
wewe ni mwandishi bora. katu usiache uwezo wako udumae. ni vema sasa tutakusoma na huko pia.
ReplyDeleteUna blogu nzuri inasema mabo yalivyo lakini. Ni matumaini yangu kuwa kwa kusoma blogu hii, mahangaikoyamkenya.blogspot.com pia itakuwa nzuri.
ReplyDeleteHongera ni wachache huweza kufanya maamuz ya maana! "Human usualy wants to be like some one but not like him or herself" u not going to die a copy. Congrats
ReplyDeleteHongera hii ni hatua muhimu kuelekea kwenye mafanikio zaidi
ReplyDeleteNi wakati mzuri, ni wakti bora wa kilichobora, ndiyo maana kisa cha ZAINABU kimenikuna sana,.........
ReplyDeleteNimerejea tena nilisahau kuhusu huyu dada Yasinta...... bado wewe nakumbuka nilikueleza jambo hilo, kwani wewe mtu wa mambo ya afya, nakumbuka dada Subi katuandikia sana mambo hayo kuhusu magonjwa mbalimbali katika Gazeti hili nisilokosa kulisoma maana nimegundua kitu fulani tofauti na mengineyo.
ReplyDeleteYasinta upelikisi??????
Hongera sana kaza buti
ReplyDelete