Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Maboksi matatu halafu yamekaa kimitego....nahisi umeshaingia kwenye mtengo ili ufungwe pingu za maisha. Ila sema tu roho inaniuma kweli wakati pweza alishanitabiria mie ndo kinara ina maana kanidanganya?
Mimi nahisi upendo, kwani zawadi ni ishara ya upendo na amani, iwe unaolewa au unapeleka kwa wanao-oa, au itakavyokuwa lakini kuna kaishara kafuraha na upendo. Hongera
SITANII jamani miminaona huu ni UFISADI WA MAPENZI haki mungu hivi. Tena ufisadi huo umejiingiza hata Mama Mchungaji nadhani hakujua. NAYAONA MADUME MATATU YANAWANIA UPENDO WA KOERO. bishaaaaaaa!!!! najua kuna mmoja unampenda sana, kuna mmoja anakuvutia kwa ucheshi na mwingine ni kutokana na namna anavyokubembeleza. yaani mmoja unampenda mwenyewe na mwingine anakupenda wewe na wa tatu unavutiwa tu namna unavyopenda mambo yake duuuhhh ama kweli iko kazi hapa.
CHAGUA MWENYEWE YUPI ANAIKUNA NAFSI YAKO ili ujue kuwa watu wanajua kula kwa kuchagua. LAKINI KUMBUKA HAWA WANAUME WOTE WANA NJAA NA WEWE, SIJUI WAKISHIBA ITAKUWAJE jibu unalo......
Maboksi matupu yanauzwa tayari kuwekewa zawadi za upendo wa dhati au....
ReplyDeleteunaolewa hivi karibuni????
ReplyDeleteMaboksi matatu halafu yamekaa kimitego....nahisi umeshaingia kwenye mtengo ili ufungwe pingu za maisha. Ila sema tu roho inaniuma kweli wakati pweza alishanitabiria mie ndo kinara ina maana kanidanganya?
ReplyDeleteUmeolewa nini mbora wedi!
ReplyDeletenaungana na kaka chib. ni maboksi ya zawadi lakini matupu. bado kuwekewa zawadi.
ReplyDeletefadhy tatizo unapata ushauri wa pweza wa feri. nibeep nikutumie namba ya pweza paulo.
Mimi nahisi upendo, kwani zawadi ni ishara ya upendo na amani, iwe unaolewa au unapeleka kwa wanao-oa, au itakavyokuwa lakini kuna kaishara kafuraha na upendo. Hongera
ReplyDelete"mipira"
ReplyDeletekuna dhawadi ya kilimokwanza ya familia.
ReplyDeleteboksi lenye 'mbuzi' yenye kukuna saidi ndilo litakalotwaliwa kwenye utukufu...lol!
SITANII
ReplyDeletejamani miminaona huu ni UFISADI WA MAPENZI haki mungu hivi. Tena ufisadi huo umejiingiza hata Mama Mchungaji nadhani hakujua. NAYAONA MADUME MATATU YANAWANIA UPENDO WA KOERO. bishaaaaaaa!!!! najua kuna mmoja unampenda sana, kuna mmoja anakuvutia kwa ucheshi na mwingine ni kutokana na namna anavyokubembeleza. yaani mmoja unampenda mwenyewe na mwingine anakupenda wewe na wa tatu unavutiwa tu namna unavyopenda mambo yake duuuhhh ama kweli iko kazi hapa.
CHAGUA MWENYEWE YUPI ANAIKUNA NAFSI YAKO ili ujue kuwa watu wanajua kula kwa kuchagua. LAKINI KUMBUKA HAWA WANAUME WOTE WANA NJAA NA WEWE, SIJUI WAKISHIBA ITAKUWAJE jibu unalo......