Friday, August 27, 2010

JE UMEWAHI KUZITUMIA HIZI?







Nimezikuta kwenye mkoba wa Mzee Mkundi

7 comments:

  1. Mzee mkundi naye yupo kama mzee wangu mpaka sumni ameitunza duh! senti moja, senti tano ....

    ReplyDelete
  2. Da' Yasinta inaitwa Sumni au Thumni?

    ReplyDelete
  3. Kwa mtu kama mimi ukiniuliza swali kama hilo nitakuambia kuwa `unauliza jibu'
    Tumezitumia hizo sana, na thamani yake nafikiri ni kubwa kuliko hizi tunazotumia sasa hivi, anayebisha aseme!

    ReplyDelete
  4. kaka shaban nawe huna dogo mweeeh! sawa ni Thumni. Kaaazi kwelikweli.

    ReplyDelete

Andika maoni yako, Tujadili kwa kina