Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Kwa mtu kama mimi ukiniuliza swali kama hilo nitakuambia kuwa `unauliza jibu' Tumezitumia hizo sana, na thamani yake nafikiri ni kubwa kuliko hizi tunazotumia sasa hivi, anayebisha aseme!
what a nostalgia!
ReplyDeleteMwaipopo, eti nini?
ReplyDeleteMzee mkundi naye yupo kama mzee wangu mpaka sumni ameitunza duh! senti moja, senti tano ....
ReplyDeleteDa' Yasinta inaitwa Sumni au Thumni?
ReplyDeleteManoti pesa!
ReplyDeleteKwa mtu kama mimi ukiniuliza swali kama hilo nitakuambia kuwa `unauliza jibu'
ReplyDeleteTumezitumia hizo sana, na thamani yake nafikiri ni kubwa kuliko hizi tunazotumia sasa hivi, anayebisha aseme!
kaka shaban nawe huna dogo mweeeh! sawa ni Thumni. Kaaazi kwelikweli.
ReplyDelete