Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Tumekukosa katika medani za kisiasa,nadhani uwepo wako kwenye kampeni kwa njia ya ku blogu ungeweza kuwa chachu, lakini hakuna kilichoharibiki kwa huu ujumbe wa dk za lala salama.
Mmmmmh!
ReplyDeleteTumekukosa katika medani za kisiasa,nadhani uwepo wako kwenye kampeni kwa njia ya ku blogu ungeweza kuwa chachu, lakini hakuna kilichoharibiki kwa huu ujumbe wa dk za lala salama.
ReplyDeleteUkiamini kila kitu chawezekana.
ReplyDeleteHakuna lisilowezekana!!
ReplyDeletekila kitu kina mwisho wake. Huu ni mwisho wa sisiem
ReplyDeleteNinayo maswali siyo haba. Lakini ngoja tu ninyamaze maana hilo kaburi na kitambulisho cha mpiga KURA???? duh!!!
ReplyDeleteDuh! Yaani kwa sasa sisiemu wamemzika rais wao na wabunge!
ReplyDeletemara ccm pindu/chali!!
ReplyDelete