Monday, October 25, 2010

OCTOBER 31, SIKU AMBAYO CCM HAWATAAMINI!

Kama ilivyotokea miaka 2000 iliyopita!

8 comments:

  1. Tumekukosa katika medani za kisiasa,nadhani uwepo wako kwenye kampeni kwa njia ya ku blogu ungeweza kuwa chachu, lakini hakuna kilichoharibiki kwa huu ujumbe wa dk za lala salama.

    ReplyDelete
  2. kila kitu kina mwisho wake. Huu ni mwisho wa sisiem

    ReplyDelete
  3. Ninayo maswali siyo haba. Lakini ngoja tu ninyamaze maana hilo kaburi na kitambulisho cha mpiga KURA???? duh!!!

    ReplyDelete
  4. Duh! Yaani kwa sasa sisiemu wamemzika rais wao na wabunge!

    ReplyDelete

Andika maoni yako, Tujadili kwa kina