Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Ha ha haaa, usiwe na shaka Koero, wanasema dunia ni duara, na watu hukutana. Ipo siku tu watu watakutana nawe. Nakutakia kila la heri na baraka zote kwa mwaka 2011. Ahsante kwa kutujali na kututundika hapa
Na mie sijui nitakuja lini nionane na hao watakaoniweka kwenye blogu na mie nipambwe??? Ggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrr Mara kadhaa nimesema ni heri kuwa na watu kumi walio upendo na umoja kuliko umoja wa blogaz 300 walio na unafiki na utengano
kama safari ilikwishaanzishwa na muhimu kuwa na mwanzo wenye safari moja. @mzee wa changamoto, tatizo la unafiki na hisia hasi juu ya jambo. wanablogu wengi wanakuwa na hisia hasi. ndiyo maana nakumbuka kauli ya mtani wangu Fadhy alisema, "sijui kwanini watu hawachukulii serious huu mumuiko", kauli hii inarindima kichwani mwangu daima, sijui nifanye nini ili mpate kuelewa. Binafsi blogu imenikutanisha na watu wengi sana, namshukuru sana Ndesanjo Macha kwa kunihamaisha na kunielekeza hili na lile na pia hata 'kupoteza' muda wake.
tulianza vizuri sana.naamini mwaka huu tutafanya zaidi ya hapo
ReplyDeleteHa ha haaa, usiwe na shaka Koero, wanasema dunia ni duara, na watu hukutana. Ipo siku tu watu watakutana nawe.
ReplyDeleteNakutakia kila la heri na baraka zote kwa mwaka 2011.
Ahsante kwa kutujali na kututundika hapa
Hakika ilipendeza! Naamini itapendeza zaidi mwaka huu
ReplyDeleteNi kweli milima haikutana bali wanadamu hukutana.
ReplyDeleteIlikuwaje karibu watu wote walikuwa wamevaa mashati/fulana nyeupe!! What a coincidence!!!
ReplyDeletePoa sana hii!Mungu akipenda mwaka huu sitokosekana!
ReplyDeleteNa mie sijui nitakuja lini nionane na hao watakaoniweka kwenye blogu na mie nipambwe???
ReplyDeleteGgggrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Mara kadhaa nimesema ni heri kuwa na watu kumi walio upendo na umoja kuliko umoja wa blogaz 300 walio na unafiki na utengano
Haswaa...mzee wa changamoto.
ReplyDeletekama safari ilikwishaanzishwa na muhimu kuwa na mwanzo wenye safari moja.
ReplyDelete@mzee wa changamoto, tatizo la unafiki na hisia hasi juu ya jambo. wanablogu wengi wanakuwa na hisia hasi. ndiyo maana nakumbuka kauli ya mtani wangu Fadhy alisema, "sijui kwanini watu hawachukulii serious huu mumuiko", kauli hii inarindima kichwani mwangu daima, sijui nifanye nini ili mpate kuelewa. Binafsi blogu imenikutanisha na watu wengi sana, namshukuru sana Ndesanjo Macha kwa kunihamaisha na kunielekeza hili na lile na pia hata 'kupoteza' muda wake.
"Wanablogu ni mashujaa wa kesho".