Tuesday, February 15, 2011

SIKU YA GULIO KATERERO!

Ukiangalia kwa mbaaali unaweza kumuona kaka yangu Kamala

9 comments:

  1. Hilo jina yani Katarero kiswahili ni matusi tupu naneo moja lina maana nyingi sana.

    ReplyDelete
  2. Na kwa kariiiibu najiona. Mimi yulllee, Vumbi mpaka kwenye kope. Unaniona?
    Karibu tena dada
    ULIKUMBUKWA na asiyeonekana. Yaani mimi mwana mpotevu
    Lol

    ReplyDelete
  3. Umenikumbusha mbali kweli hadithi hii ya "Siku ya Gulio Katerero" nadhani nilikuwa darasa la nne. Naona nami mnaniona hapo ni hicho kigauni changu na mivumbi kibaoooo:-)

    ReplyDelete
  4. Nilijua maana ya jina hili kwa undani wakati nikisoma Bukoba. Wahaya mhhhh!

    Kweli dada Yasinta - hata mimi nakumbuka hiyo habari ya "Siku ya Gulio Katerero". Nadhani ilikuwa katika kitabu cha Kiswahili cha darasa la nne

    ReplyDelete
  5. hata mimi nakumbuka Gulio katerero!

    ReplyDelete
  6. Kumuona Kamala yahitaji kuazima miwani ya kibabu wa miaka 100, tena kibogoyo hakyanani!

    ReplyDelete
  7. Naamini hapa gulioni lazima kuna mchumba wangu!:-(

    ReplyDelete
  8. duhu kwenye makaterero?? muhimu kufanya mambo mswano, utaganganiwa kwani utafikisha mwisho wa ggulio mpaka uchuvu

    ReplyDelete
  9. hehehee hata mimi naamini hivyo kaka wa mimi @Kitururu!

    ReplyDelete

Andika maoni yako, Tujadili kwa kina