Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Tuesday, February 15, 2011
SIKU YA GULIO KATERERO!
Ukiangalia kwa mbaaali unaweza kumuona kaka yangu Kamala
Umenikumbusha mbali kweli hadithi hii ya "Siku ya Gulio Katerero" nadhani nilikuwa darasa la nne. Naona nami mnaniona hapo ni hicho kigauni changu na mivumbi kibaoooo:-)
Hilo jina yani Katarero kiswahili ni matusi tupu naneo moja lina maana nyingi sana.
ReplyDeleteNa kwa kariiiibu najiona. Mimi yulllee, Vumbi mpaka kwenye kope. Unaniona?
ReplyDeleteKaribu tena dada
ULIKUMBUKWA na asiyeonekana. Yaani mimi mwana mpotevu
Lol
Umenikumbusha mbali kweli hadithi hii ya "Siku ya Gulio Katerero" nadhani nilikuwa darasa la nne. Naona nami mnaniona hapo ni hicho kigauni changu na mivumbi kibaoooo:-)
ReplyDeleteNilijua maana ya jina hili kwa undani wakati nikisoma Bukoba. Wahaya mhhhh!
ReplyDeleteKweli dada Yasinta - hata mimi nakumbuka hiyo habari ya "Siku ya Gulio Katerero". Nadhani ilikuwa katika kitabu cha Kiswahili cha darasa la nne
hata mimi nakumbuka Gulio katerero!
ReplyDeleteKumuona Kamala yahitaji kuazima miwani ya kibabu wa miaka 100, tena kibogoyo hakyanani!
ReplyDeleteNaamini hapa gulioni lazima kuna mchumba wangu!:-(
ReplyDeleteduhu kwenye makaterero?? muhimu kufanya mambo mswano, utaganganiwa kwani utafikisha mwisho wa ggulio mpaka uchuvu
ReplyDeletehehehee hata mimi naamini hivyo kaka wa mimi @Kitururu!
ReplyDelete