Monday, March 14, 2011

BIASHARA KWELI NI MATANGAZO

Hii nimekutana nayo Jijini Arusha hivi karibuni!


3 comments:

  1. ha ha ha haaaaa! mweh mambo ya biashara haya!!

    ReplyDelete
  2. dada koero Mkundi kweli biashara matangazo. Umenikumbushia mbali sana pindi nilipokuwa meneja matangazo wa radio moja hapa Dar nilikuwa nabuni vitu vingi sana ili kuhakikisha tunaendelea kuuza. Ila zaidi napenda barua zako dada you are so creativity and gifted person. Big up!!

    ReplyDelete
  3. Hakika hiyo nanihii ni mtumba kutoka kwa wacheza sumo wa Japan! :-)

    ReplyDelete

Andika maoni yako, Tujadili kwa kina