Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
dada koero Mkundi kweli biashara matangazo. Umenikumbushia mbali sana pindi nilipokuwa meneja matangazo wa radio moja hapa Dar nilikuwa nabuni vitu vingi sana ili kuhakikisha tunaendelea kuuza. Ila zaidi napenda barua zako dada you are so creativity and gifted person. Big up!!
ha ha ha haaaaa! mweh mambo ya biashara haya!!
ReplyDeletedada koero Mkundi kweli biashara matangazo. Umenikumbushia mbali sana pindi nilipokuwa meneja matangazo wa radio moja hapa Dar nilikuwa nabuni vitu vingi sana ili kuhakikisha tunaendelea kuuza. Ila zaidi napenda barua zako dada you are so creativity and gifted person. Big up!!
ReplyDeleteHakika hiyo nanihii ni mtumba kutoka kwa wacheza sumo wa Japan! :-)
ReplyDelete