Thursday, March 17, 2011

MJOMBA MASSAWE WA BUGURUNI ROZANA

Jana nilinunua Vocha hapa, nikavutiwa na Tangazo hili

4 comments:

  1. Hapo kuna mabango matatu, ni lipi ulivutiwa nalo?

    ReplyDelete
  2. Kweli mabango yapo mengi au mliongea kinamna ili umtangazie duka lake!

    ReplyDelete
  3. Nilivutiwa tu na mjasiriamali huyu kwa jinsi anavyojua kuchangamkia biashara, kwa yeye anachoangalia nai maslahi, yaani hana tofauti na mimi jinsi ninavyojua kuchakarika.....

    ReplyDelete

Andika maoni yako, Tujadili kwa kina