Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Thursday, March 17, 2011
MJOMBA MASSAWE WA BUGURUNI ROZANA
Jana nilinunua Vocha hapa, nikavutiwa na Tangazo hili
Nilivutiwa tu na mjasiriamali huyu kwa jinsi anavyojua kuchangamkia biashara, kwa yeye anachoangalia nai maslahi, yaani hana tofauti na mimi jinsi ninavyojua kuchakarika.....
Hapo kuna mabango matatu, ni lipi ulivutiwa nalo?
ReplyDeleteKweli mabango yapo mengi au mliongea kinamna ili umtangazie duka lake!
ReplyDeleteNilivutiwa tu na mjasiriamali huyu kwa jinsi anavyojua kuchangamkia biashara, kwa yeye anachoangalia nai maslahi, yaani hana tofauti na mimi jinsi ninavyojua kuchakarika.....
ReplyDeleteSafi sana Koero..
ReplyDelete