Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Tuesday, April 12, 2011
BODA BODA ILIPONITEGUA MGUU.
Juzi katika harakati zangu za kutafuta mikwanja, nikajikuta nikipigwa defrao na Bodaboda maeneo ya Msasani.
Niliwahishwa Hospitali na ikaonekana nimeteguka kifundo cha mguu wa kushoto. nimefungwa POP na sasa naendelea vyema.
Ahsanteni ndugu zangu kwa kunipa pole, naendelea vizuri kwa kweli, na jambo la kufurahisha nimepata muda wa kuperuzi blog mbalimbali na pia kupata wasaa wa kuandika makala zangu. yaani nilikuwa sina muda, na sasa nataka niandike ujinga mwingi kisha niwarushie hapa kibarazani kwangu, kaeni mkao wa kusoma majungu...... LOL
Kaka M-Three...nashukuru kwa kutaka kuja kuniona, ingawa ajali niliipata hapo Msasani, lakini kwa sasa niko Mbezi Beach kwa dada yangu nikijiuguza, niliondoka nyumbani Mikocheni tangu juzi na kuja huku Mbezi kwa dada yangu kudeka kidogo....LOL
Ahsante kwa taarifa maana kweli ulipotea kweli. Na nakuombea upone kwa haraka. Duh hizi ajali hizi kaazi kwelikweli . Mungu awe nawe...Pamoja daima
ReplyDeletePole Mdada!
ReplyDeletePole kwa ajali...
ReplyDeleteget well soon Mdada!
Pole sana.
ReplyDeleteMpola muto wange. Orware noikya
ReplyDeletePole sana Msasani maeneo gani maana nami nabangaiza maeneo hayo nataka kuja kukuona, na kukujua hali
ReplyDeleteAhsanteni ndugu zangu kwa kunipa pole, naendelea vizuri kwa kweli, na jambo la kufurahisha nimepata muda wa kuperuzi blog mbalimbali na pia kupata wasaa wa kuandika makala zangu. yaani nilikuwa sina muda, na sasa nataka niandike ujinga mwingi kisha niwarushie hapa kibarazani kwangu, kaeni mkao wa kusoma majungu...... LOL
ReplyDeleteKaka M-Three...nashukuru kwa kutaka kuja kuniona, ingawa ajali niliipata hapo Msasani, lakini kwa sasa niko Mbezi Beach kwa dada yangu nikijiuguza, niliondoka nyumbani Mikocheni tangu juzi na kuja huku Mbezi kwa dada yangu kudeka kidogo....LOL
hongera
ReplyDeletePole sana na tunashukuru kusikia unaendelea vyema!
ReplyDelete