Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Wednesday, May 13, 2009
SIJUI NDIE HUYU!
Hapa ni kwa bibi Koero, majira asubuhi, Binti huyu alikuwa ameandaliwa chai na Magimbi na bibi yake. Jamani maisha ya kijijini ni mazuri. Hebu nisaidieni, hivi huyu ni nani?
Eeh jamani chai na magimbi umenikumbusha mbali wakati naishi Matetereka. ok mi nadhani huyo ni yeye mwenyewe bibi Koero.
ReplyDeletenaomba hiyo shuka niongeze mtaji
ReplyDeleteMi naomba hiyo shuka. Huku nilipo kuna baridi kimtindo. Huyo atakuwa ni mwenyewe huyo!
ReplyDeleteHuyu ndiye mwenyewe!
ReplyDelete