Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Saturday, November 21, 2009
ETI HUYU NI NANI?
Huyu ni nani?
Ndugu wasomaji, leo nilikuwa nachungulia mtandaoni nikajikuta nikivutiwa na hii picha ya huyu jamaa, naambiwa kuwa eti ni Mtanzania na anaishi ughaibuni. Mnaomfahahamu, naombeni mnijuze.....Huyu ni nani?
Duh! Kwa nini watu wanawahi kujibu maswali kama haya. Basi kwani tayari wameshajibu waliotangulia. nazipenda sana nyimbo zake. labda nisema tu ni mgogo au alikuwa mgogo.
Huyu ni Dr Zawose
ReplyDeleteKama alivyosema Kaka Bennet, huyo ni Dr. Hukwe Zawose. Mmoja kati ya mabalozi wazuri wa muziki wa asili wa Tanzania aliyefariki mwaka 2003.
ReplyDeletemsome http://www.bagamoyo.com/464+M5ad021e75f8.html
Hee!! kaka Mubelwa, kumbe huyo Ndiye Dr. Nzawose!!!!....na Kumbe ameshafariki!!!!!!
ReplyDeletehebu ngoja nimsome kupitia hiyo Link kwanza.......
Duh! Kwa nini watu wanawahi kujibu maswali kama haya. Basi kwani tayari wameshajibu waliotangulia. nazipenda sana nyimbo zake. labda nisema tu ni mgogo au alikuwa mgogo.
ReplyDelete