Ndugu wasomaji ninaondoka asubuhi hii kuelekea Dar. Nimekaa Arusha kwa takriban mwezi mmoja na sasa inabidi nirudi nyumbani kuungana na familia yangu. Shughuli ya Kilimo ndio imekamilika na sasa nasubiri mvua kidogo za mwezi wa nne ili mazao yazidi kupata kasi ya kukua.
Mungu akinijaalia nikifika salama Dar, nitawajuza, maana safari ni hatua.
Mungu akinijaalia nikifika salama Dar, nitawajuza, maana safari ni hatua.

Mungu atakuwa nawe katika safari yako mdogo wangu.Na kama ulivyosema usikose kutujuza ni muhimu sana. SAFARI NJEMA!
ReplyDeletebila shaka lile lijamaa limukumiss wewe na uanauke wako.
ReplyDeletesafari njema
Hongera kwa kilimo kwanza,kumbe kweli unalima?kweli ni mfano wa kuigwa!
ReplyDeleteMungu atakusimamia katika safari yako ufike salama mpenzi.