Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
Hata kukosa kwako cha kuandika nayo ni burudani, umenifurahisha sana
Mbona unacho, umeshaandika
Emu-three kaniwahiUngekosa kusingekuwa na kitu hapa
KOERO KUBLOG KAZI AU SHUGHULI?
Andika maoni yako, Tujadili kwa kina
Hata kukosa kwako cha kuandika nayo ni burudani, umenifurahisha sana
ReplyDeleteMbona unacho, umeshaandika
ReplyDeleteEmu-three kaniwahi
ReplyDeleteUngekosa kusingekuwa na kitu hapa
KOERO KUBLOG KAZI AU SHUGHULI?
ReplyDelete