Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
mama Mchungaji koero, leo umenikuna kwa kusema sentensi moja tu yenye falsafa. ujaliwe mema kwa kila utendalo na mola akuepushe na mabaya yoteMATHAYO 6;7-8
Kifua CHA MUHUSIKA kizuri kweli!Itabidi nirudi baadaye kusoma maandishi ya T -shirt!:-(
Mambo ya siasa ni mkang'anyiko, uwongo mwingi na huo uwongo una ukweli katika kuwapumbaza watu mwisho wa siku mkigundua imekula kwenu
Andika maoni yako, Tujadili kwa kina
mama Mchungaji koero, leo umenikuna kwa kusema sentensi moja tu yenye falsafa. ujaliwe mema kwa kila utendalo na mola akuepushe na mabaya yote
ReplyDeleteMATHAYO 6;7-8
Kifua CHA MUHUSIKA kizuri kweli!
ReplyDeleteItabidi nirudi baadaye kusoma maandishi ya T -shirt!:-(
Mambo ya siasa ni mkang'anyiko, uwongo mwingi na huo uwongo una ukweli katika kuwapumbaza watu mwisho wa siku mkigundua imekula kwenu
ReplyDelete