YAS FIBER KUWEKEZA SHILINGI BILIONI 300 KUPANUA MKONGA WA MAWASILIANO
ZANZIBAR KWA KUSHIRIKIANA NA ZICTIA
-
Na Mwandishi Wetu Zanzibar
YAS Fiber Tanzania itawekeza takriban shilingi bilioni 300 kwa kipindi cha
miaka 20 ili kupanua huduma za intaneti yenye ...
7 hours ago


9 comments:
tulianza vizuri sana.naamini mwaka huu tutafanya zaidi ya hapo
Ha ha haaa, usiwe na shaka Koero, wanasema dunia ni duara, na watu hukutana. Ipo siku tu watu watakutana nawe.
Nakutakia kila la heri na baraka zote kwa mwaka 2011.
Ahsante kwa kutujali na kututundika hapa
Hakika ilipendeza! Naamini itapendeza zaidi mwaka huu
Ni kweli milima haikutana bali wanadamu hukutana.
Ilikuwaje karibu watu wote walikuwa wamevaa mashati/fulana nyeupe!! What a coincidence!!!
Poa sana hii!Mungu akipenda mwaka huu sitokosekana!
Na mie sijui nitakuja lini nionane na hao watakaoniweka kwenye blogu na mie nipambwe???
Ggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Mara kadhaa nimesema ni heri kuwa na watu kumi walio upendo na umoja kuliko umoja wa blogaz 300 walio na unafiki na utengano
Haswaa...mzee wa changamoto.
kama safari ilikwishaanzishwa na muhimu kuwa na mwanzo wenye safari moja.
@mzee wa changamoto, tatizo la unafiki na hisia hasi juu ya jambo. wanablogu wengi wanakuwa na hisia hasi. ndiyo maana nakumbuka kauli ya mtani wangu Fadhy alisema, "sijui kwanini watu hawachukulii serious huu mumuiko", kauli hii inarindima kichwani mwangu daima, sijui nifanye nini ili mpate kuelewa. Binafsi blogu imenikutanisha na watu wengi sana, namshukuru sana Ndesanjo Macha kwa kunihamaisha na kunielekeza hili na lile na pia hata 'kupoteza' muda wake.
"Wanablogu ni mashujaa wa kesho".
Post a Comment