ALIYEPOTEA MIAKA 52, AREJEA SONGEA MAMA YAKE HAAMINI ANGUA KILIO
-
Na Mashaka Mhando, Tanga
Hatimaye, Mzee Mohamed Rashid Mkwaje, ambaye aliondoka nyumbani kwao tangu
mwaka 1974 kwenda kufanya kazi ya kukata mkonge wilayan...
1 hour ago


6 comments:
Hahahahahaaaaaa. Ni yeye. Naniiii!!!!!!!!!
:-) Huyu ni kama Koero kwa vile anatoka dar basi anajisikia baridi na huo mblanketi wake hahahaaaaaaaa
Huyu ni Koero bibi kamwambia amsaidie kumtafuta jogoo mkubwa wa kuchinja.
Hahaahaha!!
Mpaka leo umesimama tu Koero katika njia ya kuelekea kanisani?teh!angalia miguu itaingia tumboni shauri yako!
hapo alikuwa likizo, lakini bibi jumapili bibi kamuamsha asubuhi asubuhi pamoja na kabaridi aende kanisani
duh!
huyu ni kiboko, kajifunika blanketi. Inaonekana akiwa kitandani kajikunyata kwa baridi kali, bibi yake aliwaamsha wajukuu wake kwa kusema 'Vukani'
Ni yeye huyu huyu!
Post a Comment