TANZANIA YAENDELEA KUTAFUTA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI NA ITALIA KATIKA
KILIMO, CHAKULA NA TEKNOLOJIA
-
*WAZIRI MKUU *Dkt. Mwigulu Nchemba ameondoka nchini leo, Jumamosi Septemba
19, 2026, kwenda Roma, Italia kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
kati...
1 day ago


8 comments:
Mmmmmh!
Tumekukosa katika medani za kisiasa,nadhani uwepo wako kwenye kampeni kwa njia ya ku blogu ungeweza kuwa chachu, lakini hakuna kilichoharibiki kwa huu ujumbe wa dk za lala salama.
Ukiamini kila kitu chawezekana.
Hakuna lisilowezekana!!
kila kitu kina mwisho wake. Huu ni mwisho wa sisiem
Ninayo maswali siyo haba. Lakini ngoja tu ninyamaze maana hilo kaburi na kitambulisho cha mpiga KURA???? duh!!!
Duh! Yaani kwa sasa sisiemu wamemzika rais wao na wabunge!
mara ccm pindu/chali!!
Post a Comment