Saturday, February 12, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blog hii itakuwa ikiibua mijadala mbalimbali yenye kufurahisha, kuhuzunisha, kuelimisha na ujinga kidogo. Pamoja na yote naamini pia italeta changamoto na migongano ya mawazo, ndio maana nikasema VUKANI.
9 comments:
Nani kawadanganya!
Jamani si mtazamo tu huo mmoja wapo wa mtu?
Ilala napajua! Wenyeji wa huko ni wakereketwa wakiwa CCM au vyama vya upinzani.
Mimi nasema tu:"Juu! Juu! Juu zaidi na ILALA!"
Isikose kuyumba wewe nchi nzima kuanzia mtoto mpaka mzee wanalewa usiku na mchana umewahi kuona wapi mlevi akaenda sawa bila kuyumba, nchi imejaa viwanda vya kila aina na kila siku bia mpya zinatolewa mtayumba tu kwa ulevi wa Bongo.
Bila CCM nchi itayumba? Atakayeiyumbisha ni nani?
@ Kaka Bwaya, nimekuvulia kofia. ngoja nikutunukie nishani ya santuri ya Eminem, mkali wa rap katuni, akiimba kile kibao cha 'WE MADE YOU.
@ na zaidi kuna haja ya kufikiri sana chanzo cha kauli mbiu hii, ambayo aliitoa mzee wetu Julius Nyerere, hata hivyo hilo nalipinga kwani hakuna kuyumba kwa nchi bila watu kuiyumbisha. Lakini ukitafakari kisiasa Mama Mchungaji Koero itabidi ukubali tu ndiyo siasa
Ni kweli kabisa Anym hapo juu;nchi itayumba,maana kutakuwa hakuna rushwa, kilamtu atakuwa anatendewa haki, Maisha yatakuwa nafuu, watoto wa masikini watasoma na kuwa viongozi,umeme na lami hadi vijiji,maji safi kila nyumba,majambazi na vibaka watakuwa hakuna.
Nyerere alisema bila CCM MAKINI nchi itayumba.Bado umakini alioutaka Nyerere upo?
Hii ndio huwa mitazamo ya udikteta. Juzi huko Misri, Dikteta HM ndivyo alikuwa anawazuga waMisri walipomtaka aondoke kuwa bila yeye Misri ingeyumba!!!
Post a Comment